Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Kwahiyo kutozozungumza Kiingereza ni laana?Mkuu Lugha ni sehemu ya utamaduni kuacha kuzungumza Lugha Yako na kuzungumza Lugha ya mtu mwingine ni sawa upo utumwani.Jf inamajukwaa 99% ya Kiswahili ya Nini kujipa stress na mikamusi kwenye Jukwaa lenye Lugha ya Kuja na majahazi?Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.