VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
🙁Kuzaliwa imeingiaje tena?Kwani malaika wanazaliana?Malaika mkuu ni cheo sio kitu cha kuzaliwa nacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙁Kuzaliwa imeingiaje tena?Kwani malaika wanazaliana?Malaika mkuu ni cheo sio kitu cha kuzaliwa nacho
Nimeongelea kuhusu cheo[emoji853]Kuzaliwa imeingiaje tena?Kwani malaika wanazaliana?
Sawa mkuu.Nimeongelea kuhusu cheo
Ndio maana nikasema una uhuru wa kuamua kujibu na kutokujibu swali la yeyote humu bila kueleza sababu yeyote ni uamuzi tu kwa sababu humu tunabadilishana mawazo tu na si zaidi ya hapo hivyo siwezi kukwazika kisa wewe hujibu maswali ninayokuuliza itakuwa ni ajabu, labda unisamehe mimi kama niliwahi kukukwaza mahali kwa kutofautiana mitazamo humu.Samahani Mkuu
kama nimekukwaza,
Wewe hujawahi kunikosea popote ni basi tu sipendi kuelekea kusababisha kubishana na wewe.
Samahani sana Mkuu nipo chini ya miguu yako [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji1545]Sawa mkuu.
Yameisha Mzee wangu, tutaendelea kujibishana bila shaka, ki ukweli nilikuchanganya na jamaa mmoja hivi mbishi sana na hata ukimjibu vipi haelewi kabisa nimemsahau tu jina lake, nikakuchanga na wewe ndo maana nikajibu hivyo.Ndio maana nikasema una uhuru wa kuamua kujibu na kutokujibu swali la yeyote humu bila kueleza sababu yeyote ni uamuzi tu kwa sababu humu tunabadilishana mawazo tu na si zaidi ya hapo hivyo siwezi kukwazika kisa wewe hujibu maswali ninayokuuliza itakuwa ni ajabu, labda unisamehe mimi kama niliwahi kukukwaza mahali kwa kutofautiana mitazamo humu.
Sawa nimekuelewa mkuu.Yameisha Mzee wangu, tutaendelea kujibishana bila shaka, ki ukweli nilikuchanganya na jamaa mmoja hivi mbishi sana na hata ukimjibu vipi haelewi kabisa nimemsahau tu jina lake, nikakuchanga na wewe ndo maana nikajibu hivyo.
Basi sawa Mkuu.
Asante sana ufafanuzi, nimejifunza kitu kuhusu uchawi.Wachawi silaha yao kuu ni Majini.
Majini yanayofuatilia ukoo fulani yanaitwa Mizimu.
Hao ndio wanaowatumika na Wachawi kuroga watu, kuhalibu mali zao, na kuua binadamu.
Majini wanafanya hivyo kwa mshahara wanaopata toka kwa Wachawi ambazo zinaitwa Kafara.
Bila Majini hakuna Wachawi.
Ila Bila Wachawi Majini wapo.
Fullstop.
Sawa.Asante sana ufafanuzi, nimejifunza kitu kuhusu uchawi.
Ni sawa na kuaminisha watu kuwa majini wana uwezo zaidi yetu na kwamba sisi hatuna tunaloweza kuwafanya.Bila jini au majini hakuna uchawi hata mazingaombwe lazima jini awe mshirika hakuna cha mizimu wala mapepo yale ni majini na yana makabila yapo yanaopaa ndio hutumika kama ungo na yapo ya ardhini hutumia kutega uchawi au kuutuma. Wanga wachawi na waganga njia yao ni moja hakuna mganga anaetibu bila ya majini ndio yanayomuambia unasumbuliwa na nini na njia gani atumie.
Pia majini ya makabila na kuna makabila yenye nguvu na yasiyo na nguvu.
NB: Nitakueleza ukweli leo kijana mwenzangu pale unapopewa dawa na mganga aidha ya kuoga au kufukiza hizo ni gesha tu majini anakuwa stand by Kufanya kile anachoambiwa na kiti wake unapotumia dawa hizo anaanza kukufanikishia jambo lako.
Over
Hiyo unayoita dawa tu ndio uchawi wenyewe na hata huyo jini mwenyewe anaweza kuwa muhanga wa huo uchawi, kwa maana anaweza kutumika bila kupenda na anaweza kudhurika kwa kwa kutumika huo huo uchawi.Sawa mkuu sijataka kubisha naomba kueleweshwa kitu...
Je unadhani mchawi anatumia dawa tu kufanikisha ulozi? Ziko effective kiasi icho ? Na kwanini mtu akipewa uchawi lazima apewe toolkit mfano mkoba au kibuyu na kwanini wao wanaeza kupandisha majini ? Na unadhani mapepo sio majini na wadhani dawa tu inaweza kumfanya mchawi akapotea kimazingara
hujawahi rogwa vizuri Uzungu utakuisha siku ukikamatika! Kwenye vitabu Mungu kaunasibisha wewe hujawahipatikanaUchawi haupo. Achana na mawazo ya kipumbavu.
Nenda kaniroge nimekuruhusu ama mwambie mchawi yoyote unaemjua kwamba namruhusu aniroge.hujawahi rogwa vizuri Uzungu utakuisha siku ukikamatika! Kwenye vitabu Mungu kaunasibisha wewe hujawahipatikana