Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Wasenge hawana sababu, husda tu na roho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasenge hawana sababu, husda tu na roho mbaya
Je binadamu anauwezo wa kiasili wa kuyashinda majini au uchawi?Mi ninachojua
Roho za giza yaani Mashetani, Majini, sijui Mizimu na Jamii zao ndizo zinazohusika na Ushirikina au Uchawi.
Hizo roho ndio watendaji wakuu wa Uchawi.
Sasa ili uweze kuzitumia hizo roho ni lazima kuna njia zake za kuwatumia au kuwashirikisha kitekeleza mambo ya uchawi.
Hizi njia sasa ndio hizo zinazotofautiana kutoka na aina ya Uchawi.
Hapo ninamaanisha.
Mchawi Mtu anaweza kutumia Ndumba ambazo ni mali ya ulimwengu wa giza kama chombo cha kuwaitia Majini kufanya nao ushirikina.
Mtu mwingine anaweza kutumia v
kusoma vitabu vya ulimwengu wa Giza kama kile tulichoeleza cha THE BOOK OF THE DEAN, kama chombo cha kuwaitia Majini kufanya nao ushirikina.
Mtu mwingine anatumia Maneno yani Manuizo, wengine wanaita DUA, za kishirikina na kuwaita Majini kufanya nao ushirikina.
Mengine wanatumia Makafara ya Damu za wanyama au watu ili kuwashawishi Majini kushirikiana nao kufanya Ushirikina.
Nk.
Ushirikina wowote lazima Ushirikishe roho za giza ili kuufanikisha.
Ndumba kama ndumba kama haina Jini ndani yake haiwezi kufanya kitu ni takataka tu.
Ili Umroge mtu ni lazima ulishawishi Jini na au roho yoyote ya giza na kulituma likamdhuru huyo mtu.
Hivyo basi Kuroga ni lazima kuwe na silaha maalum za kuwalazimiha Majini ili wakafanye kile unachotaka wafanye ama kwa lazima au kwa hiari.
Silaha hizo ndio kama nilizozitaja hapo Juu.
Dua maalum, Kafara maalum, Ndumba nangai, Manuizo maalum, Kisomo kwenye kitabu maalum. Nk.
Halikadhalika Kuagua, ambalo pia ni tendo la Kishirikina.
Lazima yashirikishwe Majini kwani ndiyo yaliyo na ufahamu wa Utambuzi wa mambo yajayo au yaliyopifa kwa Kificho.
Silaha hizo hizo nilizozitaja ndizo zinashirikisha Majini yaani roho za giza kumwezesha Mtu Mchawi kuweza Kuagua. Na kufanya matendo yote ya Kishirikina.
Naishia hapa mwenye swali nalijibu.
Shukrani.Basi ndugu isiwe kesi sina jibu lingine zaidi ya hilo
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shukrani.
Kuna sehemu unasema hao majini ndio watendaji wakuu wa uchawi ila sehemu nyengine unasema kwamba kuroga ni lazima kuwe na silaha maalum za kuwalazimisha Majini ili wakafanye kile unachotaka wafanye ama kwa lazima au kwa hiari. Sasa kama mtu anaweza kumlazimisha jini kufanya jambo ili afanikishe huo je hapo inakuaje majini kuwa ndio watendaji wakuu wa uchawi na si kwamba nao huwa ni wahanga wa uchawi?Mi ninachojua
Roho za giza yaani Mashetani, Majini, sijui Mizimu na Jamii zao ndizo zinazohusika na Ushirikina au Uchawi.
Hizo roho ndio watendaji wakuu wa Uchawi.
Sasa ili uweze kuzitumia hizo roho ni lazima kuna njia zake za kuwatumia au kuwashirikisha kitekeleza mambo ya uchawi.
Hizi njia sasa ndio hizo zinazotofautiana kutoka na aina ya Uchawi.
Hapo ninamaanisha.
Mchawi Mtu anaweza kutumia Ndumba ambazo ni mali ya ulimwengu wa giza kama chombo cha kuwaitia Majini kufanya nao ushirikina.
Mtu mwingine anaweza kutumia v
kusoma vitabu vya ulimwengu wa Giza kama kile tulichoeleza cha THE BOOK OF THE DEAN, kama chombo cha kuwaitia Majini kufanya nao ushirikina.
Mtu mwingine anatumia Maneno yani Manuizo, wengine wanaita DUA, za kishirikina na kuwaita Majini kufanya nao ushirikina.
Mengine wanatumia Makafara ya Damu za wanyama au watu ili kuwashawishi Majini kushirikiana nao kufanya Ushirikina.
Nk.
Ushirikina wowote lazima Ushirikishe roho za giza ili kuufanikisha.
Ndumba kama ndumba kama haina Jini ndani yake haiwezi kufanya kitu ni takataka tu.
Ili Umroge mtu ni lazima ulishawishi Jini na au roho yoyote ya giza na kulituma likamdhuru huyo mtu.
Hivyo basi Kuroga ni lazima kuwe na silaha maalum za kuwalazimiha Majini ili wakafanye kile unachotaka wafanye ama kwa lazima au kwa hiari.
Silaha hizo ndio kama nilizozitaja hapo Juu.
Dua maalum, Kafara maalum, Ndumba nangai, Manuizo maalum, Kisomo kwenye kitabu maalum. Nk.
Halikadhalika Kuagua, ambalo pia ni tendo la Kishirikina.
Lazima yashirikishwe Majini kwani ndiyo yaliyo na ufahamu wa Utambuzi wa mambo yajayo au yaliyopifa kwa Kificho.
Silaha hizo hizo nilizozitaja ndizo zinashirikisha Majini yaani roho za giza kumwezesha Mtu Mchawi kuweza Kuagua. Na kufanya matendo yote ya Kishirikina.
Naishia hapa mwenye swali nalijibu.
Ndio, Binadamu ambaye anazingatia mafundisho ya Mungu Muumba Mbingu na Nchi hawezi shambuliwa na nguvu yoyote ya Kiroho ya Giza.Je binadamu anauwezo wa kiasili wa kuyashinda majini au uchawi?
Ukitaka Mungu akulinde ni kusali tu na kufuata maagizo yake au kuna njia nyingine?Ndio, Binadamu ambaye anazingatia mafundisho ya Mungu Muumba Mbingu na Nchi hawezi shambuliwa na nguvu yoyote ya Kiroho ya Giza.
Kwakuwa analindwa na Mungu Mwenyewe.
Tukienda kwa asili unavyo kusema.
Binadamu yoyote ameumbwa na Roho ya Mungu. Hivyo analindwa tokea asili yake na Mungu mwenyewe.
Binadamu akizaliwa anakuwa na asili hiyo ya nguvu.
Tatizo linakuja toka kwa Wazazi wasiojielewa.
Utakuta mtoto mdogo hana tatizo lolote anaenda kumzindika kwa Waganga warozi na wanaanza kunvisha mahirizi au nyuzi nyeusi mikononi na viunoni. Hapo ndipo wanapo haribu.
Au wanaweza wasifanye hivyo.
Wewe mwenye ukikua unaanza kwenda kwa waganga wachawi kwa wazo la kujikinga au kukinga kazi au biashara yako, kutaka mvuto wa kimapenzi nk.
Unapo fanya hivyo au kufanywa na wazazi wasiojielewa basi Majini yanakutawala na kuondoa baraka za Mungu ambazo ulizaliwa nazo.
Kule kusema msemo wa Kusafisha Nyota ndio huko. Unaondoa Roho nzuri unaiingiza roho chafu.
Ukirudia rudia kutenda matendo maovu yaliyokatazwa na Maandiko pia unakaribisha roho chafu zikukalie na kukuharibu.
Hao waganga wachawi wote ni ma Agent wa Ibris Shetani na Malaika zake Majini.
Kama ulivyosemaUkitaka Mungu akulinde ni kusali tu na kufuata maagizo yake au kuna njia nyingine?
Mkuu haya unayoyaeleza yapo kwenye uhalisia au ni nadharia?Kama ulivyosema
Sala ni kuongea na Mungu wako.
Kufuata maagizo yake ni kumpendeza Mungu na Mwanadamu mwenzako.
Hapo utatimiza Amri kuu za Mungu.
1. Mpende Mungu aliye kuumba.
2. Mpende Jirani unayeishi naye.
Hapo hutaguswa na Nguvu yoyote ya giza kwa nia ya kukuathiri.
Samahani Mkuu,Mkuu haya unayoyaeleza yapo kwenye uhalisia au ni nadharia?
Kwahyo kumbe jinn anaweza kuwa na nguvu kuliko malaika.. kwamaana aliweza kushawishi malaika wengine kuhasi na kuanzisha vtaIbliis / Satan/ Devil / Lucifer has never been an Angel, He was actually one amongst the jinn offspring who raised to heaven after the jinn universe been doomed. He was living in the midst of angels congregations and was best in worship especially
sujood( Prostration).
The problem risen when the whole congregation asked to prostrate before our fore Father Adam (Peace be upon him) whence created. As we all know They all did it expect him. And when asked why ?
He arrogantly mentioned he was better creation than Adam (ie mentioning he was created by Fire/the smoke which actually tells it he was amongst the jinn and never claimed he was an angel)….
Inaonesha wewe unanijua ila mie sikukumbuki lakini pia haihitaji sababu kwa wewe kuamua kutokujibu swali la yeyote humu ni uamuzi wako unaweza ukaandika chochote humu na usijibu swali lolote na hutokuwa umevunja sheria yoyote humu JF.Samahani Mkuu,
Wewe sikujibu maswali yako.
Wala usisumbuke kuniuliza chochote kile sitakujibu.
Nina uhakika unajua ni kwanini
Tatizo kuna Ibilisi ambaye aliwahi kuwa malaika ila sasa hatambuliki tena kama malaika na wale malaika aliyowashawishi ndio wamegeuka majini nao hawatambuliki tena kama malaika ,ila pia kuna Ibilisi ambaye yeye alikuwa jini na hadi leo bado ni jini hakuwahi kuwa malaika.Kwahyo kumbe jinn anaweza kuwa na nguvu kuliko malaika.. kwamaana aliweza kushawishi malaika wengine kuhasi na kuanzisha vta
Kwa maelezo haya inaonesha kuna ibilisi wawili?au mi ndo sijaelewa?Tatizo kuna Ibilisi ambaye aliwahi kuwa malaika ila sasa hatambuliki tena kama malaika na wale malaika aliyowashawishi ndio wamegeuka majini nao hawatambuliki tena kama malaika ,ila pia kuna Ibilisi ambaye yeye alikuwa jini na hadi leo bado ni jini hakuwahi kuwa malaika.
Yeah tunaweza kusema kuna Ibilisi wawili, mmoja asili yake ni malaika ila haijawa wazi kama bado ni malaika au hiyo asili ilibadilika na mwengine yeye asili yake ni jini na hakuwahi kuwa malaika.Kwa maelezo haya inaonesha kuna ibilisi wawili?au mi ndo sijaelewa?
Samahani MkuuInaonesha wewe unanijua ila mie sikukumbuki lakini pia haihitaji sababu kwa wewe kuamua kutokujibu swali la yeyote humu ni uamuzi wako unaweza ukaandika chochote humu na usijibu swali lolote na hutokuwa umevunja sheria yoyote humu JF.
Ila binafsi sina kumbukumbu kwamba labda niliwahi kumtukana mtu humu au kuwa nae na ugomvi binafsi pengine ndio ipelekee kutosemezana na huyo mtu humu, kama kuna mtu nimemkwaza basi kwa sababu ya kutofautiana tu mitazamo humu na si vinginevyo. Kwahiyo unaweza ukanikumbusha ni kipi nilikukwaza hadi uamuwe kutojibu maswali yangu au unaweza ukaamua tu kutosema sababu maana sio lazima kujibu maswali yangu.
Asante sana!Samahani Mkuu
kama nimekukwaza,
Wewe hujawahi kunikosea popote ni basi tu sipendi kuelekea kusababisha kubishana na wewe.
Samahani sana Mkuu nipo chini ya miguu yako [emoji120][emoji120][emoji120]
Asante sana nawe.Asante sana!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] Mkuu nilipumzika kidogo kuwapa wadhihaki nafasi ya kupumua kidogo.. Tunaanza tena mdogo mdogo mwezi ujao..!Asante sana nawe.
Mkuu Mshana jr.
Utu wema ni pamoja na kuomba msamaha kila unapoona umemkosea mwenzako.
Wote tumeumbwa kukosea wakati mwingine.
Mzee siku hizi umepunguza kuanzisha mada za utata za upande wa pili wa shilingi.
Bado wapenzi wako tunakusubiria utoe Mada ya Moto watu wakune vichwa kuichangia.