Kwanini wachawi hutupia watu majini?

Kwanini wachawi hutupia watu majini?

Inaovyoonekena wewe unamwabudu Ibilisi na Shetani. Kwenye dini zote zinaamini uchawi na hata wapagani na dini za asili zinaamini uchawi upo. Ina maana mitume na manabii wote walikuwa hawana akili kusema kwamba uchawi upo? Na baadhi ya mitume na manabii walipambana na huo uchawi moja kwa moja kama tunavyosoma kwenye maandiko matakatifu ya dini. Wewe ni nani hadi upinge wote hao mitume na manabii na hata wapagani? Au wewe ndiye ibilisi na shetani mwenyewe unataka kuendeleza uongo maana shetani ndiye mwasisi na baba wa uongo!
Sawasawa
 
Hii falsafa ilifanya vizuri sana Ulaya waliwaua wachawi waganga washirikina wote Ili wasiharibu jamii zao.
Ushirikina upunguza uwezo wa kufikiri.
Jamii zinazoamini ushirikina thinking capacity zao zipo chini sana zaidi ya kuku huku umasikini dhoofu hali ufukara ukitawala.
Waliwauwa washitikina wote?...,ilikuwa Karne ya ngapi?
 
Waliwauwa washitikina wote?...,ilikuwa Karne ya ngapi?
Yes waliwaua hao wapumbavu ndio wakapa akili mpya ya maendeleo hadi kuja kutawala afrika ilikuwa kabla ya ukoloni.
Wachawi na waganga ndio chanzo cha umasikini wa mwafrika. Bila kuwafanyia action hawa wapumbavu ni ngumu Sana kuendelea maana wameharibu Sana mindset za waafrika wengi wanaamini huwezi fanikiwa bila dawa toka kwa hao wapumbavu.
 
Kwenye uchawi kuna biashara zao kama mafuta sijui ya watoto wachanga na baadhi ya vitu na waganga huwa ni wateja wao,labda wale wanga wanao rogaroga watu hovyo ndio hawapati faida.
Hivyo ni vitendea Kazi vyao ila still maisha yao ni duni sana
 
Hivyo ni vitendea Kazi vyao ila still maisha yao ni duni sana
Tatizo mkuu unawazungumzia wale wanga wanaoenda kuroga nyumba za watu na kuroga watu hovyo ila uchawi ni kitu kipana wengine ni matajiri kabisa ila wanatumia uchawi huo huo kwenye biashara zao. Kuna watu ni washirikina kwenye biashara kama wahindi?
 
Yes waliwaua hao wapumbavu ndio wakapa akili mpya ya maendeleo hadi kuja kutawala afrika ilikuwa kabla ya ukoloni.
Wachawi na waganga ndio chanzo cha umasikini wa mwafrika. Bila kuwafanyia action hawa wapumbavu ni ngumu Sana kuendelea maana wameharibu Sana mindset za waafrika wengi wanaamini huwezi fanikiwa bila dawa toka kwa hao wapumbavu.
Nilijua una details walivyouawa...
 
Back
Top Bottom