Hadi sasa kuna aina tatu za uchawi.
1.BLACK MAGIC -uchawi wa kudhuru
Black magic huu ni uchawi wa kudhuru, kuua, kuaharibu, kutia nuksi, laana, magonjwa nk. Hapa mchawi anakuroga tu Ili kuridhisha nafsi yake. Aina hii ya uchawi imepata nguvu kubwa sana afrika sababu ya nature yetu ya ubinafsi, uvivu, roho mbaya, chuki, husuda, ujinga, wivu,upumbavu, nk. Aina hii ya uchawi ufanywa na watu wajinga walioelimika, watu duni na masikini. Hapa ndipo unamkuta mtu anamloga jirani yake eti kisa anakula nyama, kajenga nyumba, ana maendeleo, nk.
Black magic ndio uchawi wa level ya chini na ufanywa na watu wenye fikra duni Sana.Huwezi kuta mtu aliyeelimika kwenye kundi hili hata akijiunga nao ni lzm atakuwa duni.
2.WHITE MAGIC- uchawi usiodhuru
Hapa ni aina yote ya uchawi wa faida, kundi hili ufanywa na watu walioelimika,kundi hili unawakuta watenda miujiza, wanamazingaombwe, mitume na manabii, makanisa, vyama vya Siri mfano freemason, illuminati na matawi yake, wanasayansi ambao ujifunza uchawi kwa lengo la kufanikisha shughuli zao au kutafuta majibu hapa unakuta kina isaac newton, nk, viongozi wa dini, taasisi kubwa za upelelezi duniani ujifunza uchawi uwezo wa kubaini Siri zilizojificha,kuingia sehemu na kupotea, uwezo wa kubadilika au kuyeyuka ukitaka kukamatwa,mfano CIA, Mossad, KGB, nk, hapa unawakuta ninja, wanajimu, watabiri, nk.
3.RED MAGIC-kuua kwa faida.
Hapa unawakuta watoa kafara Ili kupata utajiri, umaarufu, uongozi, waumini wengi makanisani, wanamuziki, wasanii, Wana michezo, nk
VYAMA VYA KICHAWI
Wachawi Wana vyama mbalimbali vya kichawi kulingana na nia yao.
Kisiasa, kiuchumi, kijamii.Wana tawala mbalimbali,Wana vikundi mbalimbali ambavyo haviingiliani,KILA mmoja ana falme yake.
Wapo wachawi ambao awaui watu wanaogopa kudaiwa damu siku ya hukumu,wapo ambao ambao awamdhuru mama mjamzito uamini utakuwa umedhuru watu wawili ambae mmoja hana hatia.
Wachawi wanaserikali zao na miongozo kuanzia level ya mtaa hadi kimataifa.Mzee ni cheo cha kichawi cha level ya mjumbe,Chief ni mkuu wa wachawi anaetawala eneo fulani,chief ni ngazi kubwa Sana ya kichawi, huwezi pewa chief kama wewe sio gwiji uliyemtolea Sana damu za watu shetani.
Wachawi wote na makundi yao kuanzia black magic,red magic,na white magic wanatambua na wanajua kuna hukumu juu ya matendo yao lakini kiburi tu.
Wapo wanaogeuka na kuacha uchawi lakini sio kirahisi ni lazima uwe umesimama vyema na Mungu wako Ili kuepuka adhabu ya kifo maana umesaliti.
Ccm ni muunganiko wa vyama mbalimbali vya kichawi kwenye ulimwengu wa giza na kujifunua kwenye hali halisi. Hirizi ya ccm ipo kwenye mwenge, ni ngumu Sana nchi kuendelea ni hadi kukata ile connection na kuzimu iliyowekwa mwaka 1961.
Jiulize tuna KILA kitu pesa, mtaji, raslimali, nguvu Kazi, masoko ya uhakika, nk kwann hatuendelei. Jiwe alicheza na mwenge akaondoka.