Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hapana majini yana ulimwengu wao tofauti kabisa na uchawiBila jini au majini hakuna uchawi hata mazingaombwe lazima jini awe mshirika.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana majini yana ulimwengu wao tofauti kabisa na uchawiBila jini au majini hakuna uchawi hata mazingaombwe lazima jini awe mshirika.....
Sawa mkuu sijataka kubisha naomba kueleweshwa kitu...Hapana majini yana ulimwengu wao tofauti kabisa na uchawi
Hapana majini yana ulimwengu wao tofauti kabisa na uchawi
Kwenye uchawi kuna mapepo, kuna mizimu, kuna viumbe roho wengi tu na kuna majiniSawa mkuu sijataka kubisha naomba kueleweshwa kitu...
Je unadhani mchawi anatumia dawa tu kufanikisha ulozi? Ziko effective kiasi icho ? Na kwanini mtu akipewa uchawi lazima apewe toolkit mfano mkoba au kibuyu na kwanini wao wanaeza kupandisha majini ? Na unadhani mapepo sio majini na wadhani dawa tu inaweza kumfanya mchawi akapotea kimazingara
Nimesoma kwa haraka sijana popote yalipotajwa majini![]()
The World Bewitch’d: Visions of Witchcraft from the Cornell Collections
“The World Bewitch’d†is an exhibition exploring the origins and spread of the belief in witchcraft across Europe. Featuring rare and unique books and documents—from 15th-century witch hunting manuals to 20th-century movie posters—the exhibition examines themes such as gendered...rmc.library.cornell.edu
We wadhani ibilis(devil) ni nani ? Unadhan uzao wa majini umetoka Kwa nani?Nimesoma kwa haraka sijana popote yalipotajwa majini
Ibilisi alikuwa malaika mkuu kabla ya kuasi na kutupwa jehanumWe wadhani ibilis(devil) ni nani ? Unadhan uzao wa majini umetoka Kwa nani?
Ukijibu kwa ufasaha sita argue tena nitakoma mimi nitakoma[emoji16][emoji16][emoji16]
Dah haya buana inachokiongelea mythical story za wagiriki.. Nitakuambia kitu cha mwisho the devil himself was the djinn nakupa homework kasome kwanza pitia na fanya uchunguz wa Kiroho .....Ibilisi alikuwa malaika mkuu kabla ya kuasi na kutupwa jehanum
Majini ni viumbe roho vilivyoumbwa kwa moto na havijawahi kuwa sehemu ya ufalme wa Mungu kama alivyowahi kuwa shetani ibilisi
We kumbe humu wanakutukuza bure,ni mweupeeee haswaa kabisa, nahisi pia Ni mwepesi Kama unyoya!!!!!Kwenye uchawi kuna mapepo, kuna mizimu, kuna viumbe roho wengi tu na kuna majini
Majini ni majini na kwa sehemu kubwa hayachangamani na mapepo na mizimu na majini hayajaumbwa kama binadamu
unabishana na mtu mweupe,Wala Hana elimu ya hao viumbe huyo, ni empty kabisaWe wadhani ibilis(devil) ni nani ? Unadhan uzao wa majini umetoka Kwa nani?
NB: unaposema mapepo, mizimu na viumbe roho sio majini nakushangaa bcoz ni sawa na kusema mmarekani, mchina sio binadamu eti kisa wanatofautina na waafrika kimaumbile na kitabia
Mzee baba chimba ndani majini ya aina mbili kuna mema na maovu na yapo makabila mengi mno na usiyoyajua ukiwemo mapepo, mizimu, vigwengo nk ila yote ni majini.
Ukijibu kwa ufasaha sita argue tena nitakoma mimi nitakoma😁😁😁
Leo lHapana.
Eti ibilisi alikuwa malaika mkuu! We jamaa ni mweupe kichwani juu ya elimu ya dini na mambo mengine, aibu aiseeIbilisi alikuwa malaika mkuu kabla ya kuasi na kutupwa jehanum
Majini ni viumbe roho vilivyoumbwa kwa moto na havijawahi kuwa sehemu ya ufalme wa Mungu kama alivyowahi kuwa shetani ibilisi
Kama nyumba za ibada zipo uchawi usiwepo kwannUchawi haupo. Achana na mawazo ya kipumbavu.
True majini ndio waliwafunza uchawi binadamu,lengo kuu ni kuupunguza uwezo wa kufikiri wa mwanadamu aache kutumia akili zake alizopewa na Mwenyezi Mungu na awe tegemezi wa fikraBila jini au majini hakuna uchawi hata mazingaombwe lazima jini awe mshirika hakuna cha mizimu wala mapepo yale ni majini na yana makabila yapo yanaopaa ndio hutumika kama ungo na yapo ya ardhini hutumia kutega uchawi au kuutuma. Wanga wachawi na waganga njia yao ni moja hakuna mganga anaetibu bila ya majini ndio yanayomuambia unasumbuliwa na nini na njia gani atumie.
Pia majini ya makabila na kuna makabila yenye nguvu na yasiyo na nguvu.
NB: Nitakueleza ukweli leo kijana mwenzangu pale unapopewa dawa na mganga aidha ya kuoga au kufukiza hizo ni gesha tu majini anakuwa stand by Kufanya kile anachoambiwa na kiti wake unapotumia dawa hizo anaanza kukufanikishia jambo lako.
Over
Mwenyewe na shangaa sana..mana hua simwelewi kabisa..naonaga anawachotaga akili wasioelewa hizi mambo...kuna mambo mengi hayajui..au anasimuliwaga vijiweni ndio anakuja kutamba navyo humu jf..ila practically ni zero.We kumbe humu wanakutukuza bure,ni mweupeeee haswaa kabisa, nahisi pia Ni mwepesi Kama unyoya!!!!!
Kwa kifupi huna ujualo kumbe
Kwake yanafaida..katika ulimwengu wao wa giza..kila analofanya lina maana ndio mana wanafanya...la wasinge fanya.Mchawi ndie kiumbe mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri duniani thus ufanya mambo ya kipumbavu yasiyo na faida hata kwake
Biblia yenywe kuna mahali imesema usimuache mchawi aishi..huyo jamaa either anajifariji au hataki watu wajue kinachoendelea upande wa pili wa shilingi.Kama nyumba za ibada zipo uchawi usiwepo kwann
Majini ndiyo huwa wana watumia wachawi yaani Wachawi wanawategemea majini katika uchawi wao.