ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wakuu habari za uzima
Tumekuwa tukiaminishwa kwamba Wachina wameendelea sana kwani wanaongoza kujenga 'Fly Over', 'Buleti Train', barabara na madaraja ya juu na chini bila kusahau magorofa na ma 'drimulaina' ya kila dizaini lakini cha kushangaza wanaongoza kukimbia nchi yao na kuzamia huku Afrika tunakoambiwa ni maskini achilia mbali Ulaya Marekani na Asia Kusini
Unashangaa Wachina wamekimbia maendeleo kwao eti wanakuja uza karanga sijui viatu mara kuchezesha gemu hadi huku sumbawanga. Am confused kwa kweli yaani wengine ni wapangaji wenzetu.
Tulizoea kusikia Wasomali na Waethiopia wakikimbia nchi zao kwenda South au West Afrika citizens kukimbilia Ulaya nk. Ila hili la Wachina ni jipya kwangu.
Kwa nini ukimbie 'FlY Over' and the likes kuja kwenye umaskini Afrika? Hivi majuzi Wachina zaidi ya 30 walikufa kwenye makontena wakiwa kwenye harakati za kuzamia Ulaya, Mliotembea huko duniani mnitoe tongotongo maana tunaambiwa China imeendelea sana sasa watu wake kwa nini wakimbie maendeleo waje kuchezesha bao sumbawanga vijijini?
Naomba kuwasilisha,mada hii ionekane kwenye jalada.