Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Si umesema kuwa wote wanaoonekana wanakuwa wamekuja kufanya utafiti? Kuna vitu wameviona sisi hatujaviona?Ni nchi gani hapa duniani ambayo watu wote ni matajiri? wapi nimekwambia kua wachina wote wana maisha mazuri? mbona unakua na kichwa kizito kiasi hicho?