ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kuuza kashata ndio kukamata fursa? Umewahi kuona mzungu anafanya hayo?Wanakuja kamata fursa..
It seems huko China njaa ni kali hadi wanatamani walowee huku na kujuta kuishi huko kwenye flaiova?Maendeleo ya watu,Maendeleo ya vitu
Kwahiyo wewe wazungu ndio umeona point of reference to smartness,perfection? umejidharau sana,yaani jambo mpaka lifanywe na mzungu kwanza ndio liwe halali kufanywa na wengine.Kuuza kashata ndio kukamata fursa? Umewahi kuona mzungu anafanya hayo?
Yaani ukimbie maendeleo uende kwenye ufukara? Mbona sijawahi hata sikia watzn wakizamia choma? Seems huko Uchina maisha ni magumu sana flaiova hazijawasaidia?Maisha ni safari,maendeleo hayana mwisho.
Kuna fursa wameziona au ndio wanazifanyia research huku wakijifanya kushughulika na mambo mengine,elewa kua kwenye matatizo ndio kwenye fursa,si ajabu wanafanya reseach ya marketing nawe upo usingizini,mchina hawezi kwenda sehemu ambayo hana faida nayo.Yaani ukimbie maendeleo uende kwenye ufukara? Mbona sijawahi hata sikia watzn wakizamia choma? Seems huko Uchina maisha ni magumu sana flaiova hazijawasaidia?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Kuuza kashata ndio kukamata fursa? Umewahi kuona mzungu anafanya hayo?
Huoni kinachotokea south Afrika?We shida yako hasa ni nini?
Unaabudu wachina, unamuona kila mchina ni genious, kumbe wapo wajinga wengi tuKuna fursa wameziona au ndio wanazifanyia research huku wakijifanya kushughulika na mambo mengine,elewa kua kwenye matatizo ndio kwenye fursa,si ajabu wanafanya reseach ya marketing nawe upo usingizini,mchina hawezi kwenda sehemu ambayo hana faida nayo.
Wapi nimeabudu wachina? kwani hapa tunawaongelea wandengereko au wachina? ulitaka nitaje wengine na sio wachina wakati mada inahusu wachina? utakua una tatizo sehemu japo hujajigundua bado.Unaabudu wachina, unamuona kila mchina ni genious, kumbe wapo wajinga wengi tu
Unadai hao wachina wapo wanafanya research, kuna kitu wamekiona blah blah blah...China kuna watu wenye njaa balaa, hakuna cha research wala nini, bali njaaWapi nimeabudu wachina? kwani hapa tunawaongelea wandengereko au wachina? ulitakanitaje wengine na sio wachina wakati mada inahusu wachina? utakua una tatizo sehemu japo hujajigundua bado.
Ni nchi gani hapa duniani ambayo watu wote ni matajiri? wapi nimekwambia kua wachina wote wana maisha mazuri? mbona unakua na kichwa kizito kiasi hicho?Unadai hao wachina wapo wanafanya research, kuna kitu wamekiona blah blah blah...China kuna watu wenye njaa balaa, hakuna cha research wala nini, bali njaa
Ndio maana hapa bongo kila siku wanaswekwa ndani
Juzi kuna wachina 92 wameswekwa ndani huko Geita, Makonda juzi tena kasweka ndani wachina, wewe unawaona wa maana
Yes, baada ya miaka kumi na sisi tutakuwa na hali mbaya zaidiWanaofaidi uchumi wa China ni kakikundi kadogo ka Chama tawala lakini wengi ni maskini hohehahe. Lakini kila anayejaribu kuhoji anabambikiwa kesi za uhujumu. Yaani awamu ya 5 imeiga huko kila kitu.