J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 9,504 Reaction score 20,293 Oct 27, 2019 #21 The Icebreaker said: Ni nchi gani hapa duniani ambayo watu wote ni matajiri? wapi nimekwambia kua wachina wote wana maisha mazuri? mbona unakua na kichwa kizito kiasi hicho? Click to expand... Si umesema kuwa wote wanaoonekana wanakuwa wamekuja kufanya utafiti? Kuna vitu wameviona sisi hatujaviona?
The Icebreaker said: Ni nchi gani hapa duniani ambayo watu wote ni matajiri? wapi nimekwambia kua wachina wote wana maisha mazuri? mbona unakua na kichwa kizito kiasi hicho? Click to expand... Si umesema kuwa wote wanaoonekana wanakuwa wamekuja kufanya utafiti? Kuna vitu wameviona sisi hatujaviona?