royal tourtz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 255
- 326
Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja.
Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa inamfanya mdada aone jamaa anamapenzi ya kweli na anampenda.
Sasa nauliza mwanaume kutokuonesha nia ya kulala na wewe kwa haraka ndio kipimo cha upendi??