Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

Maandazi hawa anaweza zuga hata months kuwa yeye ni good boy kumbe anakulia timing tu..!!
akikudaka tu hesabu manyoya..!!
A wound in the heart.....ni play nilisoma kwenye english language back in days form three.....bahati mbaya sikuwahi kumjua main character....Nashukuru leo JF imenionesha main character....

Daaaaah another woman down.....pole mdogo wangu
 
Maandazi hawa anaweza zuga hata months kuwa yeye ni good boy kumbe anakulia timing tu..!!
akikudaka tu hesabu manyoya..!!
Nina kiti changu Cha pekee nikifa aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
 
A wound in the heart.....ni play nilisoma kwenye english language back in days form three.....bahati mbaya sikuwahi kumjua main character....Nashukuru leo JF imenionesha main character....

Daaaaah another woman down.....pole mdogo wangu
Hahaa..!
We phaller, me nimeshauri tu haina uhusiano wowote na Mimi.!!
 
Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja.

Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa inamfanya mdada aone jamaa anamapenzi ya kweli na anampenda.

Sasa nauliza mwanaume kutokuonesha nia ya kulala na wewe kwa haraka ndio kipimo cha upendi??

Wanawake hudanganywa kwa njia moja kila siku na wanaume wengi tunatumia njia hii kuwadanganya naweza nikavumilia hata miezi mitatu ilimradi tuu nipate mbususu na kishipata basi....

Wanawake wanavipimo vya ajabu ajabu kuhusu upendo...yani wakiona mwanaume aombi mbususu wanaona anafaa kumbe wasichojua kuwa ana vumilia tuu..mwanaume hawezi kuwa kwenye mahusiano na mtu akae mwezi hajaomba mbususu..akiona utamsumbua anacunga uvumilivu ili apate mbususu
 
Wengi tusioomba mapema tunakuwa kunasehem tunajipooza kwa hiyo hatuna cha kupoteza
 
Mindset..
Anaweza akachelewa kulala nawe na Bado akakupiga tukio..na anaweza wahi na mkadumu ile ile..

Kwako mwalimu to yeye
Usije ukawa ni mmoja kati ya mademu zangu, kwasababu hii kauli huwa napenda sana kuwaambia mademu zangu ninapokuwa kwenye harakati zangu za kuelekea kuwachakata.
 
Minapenda mtu ambaye ni hapo kwa hapo masuala ya kuvuta kwani na chupi ya chuma woi mi nampuuziaga,
Kondoms zipoo enzi za Kikwete nipo single na enjoy.

Mi nalazimishaga aisee siwezi kwenda mahali na kuachwa niende na shida zangu hata akitaka kukataa.
Nafanya kila njia, anakubalii.
Ww ni mtu makini sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni noma uwiiiiih
 
Maandazi hawa anaweza zuga hata months kuwa yeye ni good boy kumbe anakulia timing tu..!!
akikudaka tu hesabu manyoya..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa yaan.
 
Huo ujinga wa kusubili subili sifanyi
Kwnn ncklizie wakat umeshanikubalia
Unackilizia bdo hujala unajikuta mmeshaachana
 
Back
Top Bottom