This is very true na ni mbinu nzuri sana ya kuwakimbiza wasumbufu/mtu usiyetaka mazoea naeUkiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
Point taken masterunapogonga type ya mwanamke wa hivyo ukumbuke kuvaa condom 4 maana
hao viumbe ni wauzaji na hiyo ndio tabia yao so unapojitosa sehemu hiyo hakikisha unaingia na kutoka salama
usije kunasa ukajutia.
Mbona si tukiwa hatuwataki tunawakwepa tu, hatuwapigi mizinga namna hio 🤣🤣🤣Sijawahi kujua hii mentality huwa inatoka wapi kiukweli, nadhani mtu anaona kukuambia hakutaki sounds so rude so anafanya kituko ili uondoke 'monyewe'..!!
😂 😂Mbona si tukiwa hatuwataki tunawakwepa tu, hatuwapigi mizinga namna hio 🤣🤣🤣
Mzinga upi jaman hebu funguka😂 😂
Baadhi yenu mnapiga kwanza ule mzinga mwingine, kabla muondoke kwenye maisha yetu..!!
Wewe ni mhenga mwenzangu..Mzinga upi jaman hebu funguka
We utaje kwa manufaa ya umma tu mama...Hata kama ushawahi kupigwa nawewe jipige kifua sema mimi ni muhanga 😂😂😂😂😂Wewe ni mhenga mwenzangu..
Please read between the lines!!
Ukiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
mambo ya kawaida lkn watu washaanza kuleta mambo ya biblia hapa
charging fees itakuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni kweliUkiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
NdioMmmh