Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Kinacho wa drive hao pisi crazy ni “The Art of not giving a fucq” dem anaweza kuwa pisi af muhuni akamuona kibungo tu wala hampapatikii...Hapa mademu huchanganyikiwa mno!

Most Alphas huwa wana gain respect zaidi na hula pisi kali zaidi regardless ya uhuni walioko nao sababu they don’t fucq with bitches feelings esp. attention seeking bullcrap. Bad boys wana attract madem wazuri sababu pretty girls love real Gs. Wanaume ambao hawaoni noma ku express their minds ata dkk 1. dry dock yani no vaseline ka hivi... “Ka vipi sogea Ngwea nkutoe nyege hizo dzain ziko shazi”😆

Kuna huu ugonjwa ambao nice guys wengi wanao yani,,,”Bitch dependency syndrome” hii ni ile hali ya kutaka ku respond in each & every feeling ya demu. Kujifanya ku care kwa wingi na kutaka kuonesha that you are very important to her, giving too much of yourself just to satisfy her feelings matokeo yake unakuwa so fragile! You loose yourself in the process and end up being dumped.
 
Wanawake wengi mean the opposite😅 yani akisema anapenda mwanaume anaye care basi jua tu anapenda Nduli Iddi Amin.

Akisema anapenda kauzu jua huyo ni wa mpole kabisa. Kauzu anamkimbia!

Kwa mtu kama wewe mwenye haiba ya utata unafaa upate mwanaume mpole atakaekubali kupelekeshwa maana akiwa mtata kama mimi hapa nyumba haitakalika.
 

Kula ka like mbebe [emoji23]
 
Marefa wa dunia wana ulimwengu kwa sasa ni posts za demu Au man Mkali ndio sifa peers wanajaji uzuri sifa sifa ndio kila kitu. Na wenye dawa pia wapo
 
Siyo jiko kabisa linapowaka, i meant kitchen area mkuu, sasa unashangaa kitchen wakati hata kwenye dining tables kitu kinahappen mguu unaegeshwa hapo. Ndiyo huo ulokole wako sasa utaachwa wewe[emoji23]
Ni kweli. Mi japokua na usabato wangu nilishawahi juu ya mti

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Haipingwi mkuu

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Umeua [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…