Kwanini Wadau wengi wa Mpira wanasema leo hawatopoteza muda wao kutazama mechi ya Wakuja?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Binafsi kama GENTAMYCINE sitoiangalia kwakuwa tayari Matokeo yake ninayo, ambapo Wakuja watafungwa Goli 3 au 4 au 5 na hata 6 kama wakilegea kwa Spray ya vyumbani na kwa Muamala uliofanyika kwa baadhi ya wachezaji iliyopitia kwa Mchezaji aliyeondolewa Timu hiyo na kwenda kwa Wakuja FC kutokana na tabia yake ya Kuwaroga Wenzake kama alivyomfanyia Balama Mapinduzi wa watu.
 
Mechi Kali sana hii....yenye ushindani halisi hapa Tanzania

Mimi kama mchambuzi nimeshindwa kutabiri mshindi ni nani coz itakuwa ni mechi ngumu sana na ya visasi

Lkn haijalishi wewe ni kolo...but tuwaombee wananchi.....
 
Wakuja Wese FC wanafungwa nyingi.
 
Binafsi kama GENTAMYCINE sitoiangalia kwakuwa tayari Matokeo yake ninayo, ambapo Wakuja watafungwa Goli 3 au 4 au 5 na hata 6 kama wakilegea kwa Spray ya vyumbani na kwa Muamala uliofanyika kwa baadhi ya wachezaji iliyopitia kwa Mchezaji aliyeondolewa Timu hiyo na kwenda kwa Wakuja FC kutokana na tabia yake ya Kuwaroga Wenzake kama alivyomfanyia Balama Mapinduzi wa watu.
Usiangalie kwasababu haitoathiri kitu, kama ulijiaminisha kwa asilimia 75 timu uliyoiona wewe kuwa ni bora kwako kuwa itamkalisha Yanga kwa kuondoka alama tatu au moja (Azam) imeshindwa kufanya hivyo, ndio utegemee kwa Singida leo.
 
Screenshot_20231027-082303.jpg
 
Jamaa wa pyua talentedi withi karismantiki fella!!
 
Binafsi kama GENTAMYCINE sitoiangalia kwakuwa tayari Matokeo yake ninayo, ambapo Wakuja watafungwa Goli 3 au 4 au 5 na hata 6 kama wakilegea kwa Spray ya vyumbani na kwa Muamala uliofanyika kwa baadhi ya wachezaji iliyopitia kwa Mchezaji aliyeondolewa Timu hiyo na kwenda kwa Wakuja FC kutokana na tabia yake ya Kuwaroga Wenzake kama alivyomfanyia Balama Mapinduzi wa watu.
Wewe bwana una akili kubwa sana, unajua kuwaandaa wenzako kisaikilojia vizuri sana, maana kuumia wangeumia sana kupita kiasi baada ya mabingwa watetezi kutoa dozi lakini kwakuwa umewaandaa kisaikilojia maumivu yatapungua kidogo, ubora wa yanga unajieleza sio timu ya kuwategemea kina Tatu malogo ili ipate matokeo popote pale, ivyo ukweli unaujua kwamba singida awezi kutoka salama mbele ya vijana wa gamondi!
Daraja la Azam na singida ni tofauti lakini Azam kakarishwa kiroho safi itakuwaje singida? Wanao uwezo wa kumzuia yanga dk 90 zote? Watahimili? Jibu unalo mtani!
 
Back
Top Bottom