kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki.

Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?

HABASHI ETHIOPIA 2.jpg

HABASHI ETHIOPIA 3.jpg

HABASHI ETHIOPIA 4.jpg

HABASHI ETHIOPIA 5.jpg

HABASHI ETHIOPIA.jpg
 
Wakiwekwa kwenye ratio Kenya ina watu wa daraja la kati middle class wengi kuliko Tanzania, huo ndio ukweli japo wengi wa watanzania hawaelewi hilo baada ya kukaririshwa kiuongo kwamba Kenya wana maisha magumu kuishinda Tanzania japo ukweli ni kwamba watanzania wanasota ile mbaya ila ni wavumilivu sana kushinda wakenya.
 
Wamewekeza kwenye material things na sio kwenye kilimo cha chakula, hata Umeme wanao wa kutosha tatizo NJAA

Hawana ardhi kubwa na nzuri ya kulima nafaka
Sio lazima nchi iwekeze kwenye kilimo cha chakula ili raia wake wawe na maisha mazuri, Hata hivyo Sekta ya kilimo Ethiopia ni kubwa kuliko Tanzania,
Ethiopia ni wazalishaji namba 4 wa mahindi barani Africa baada ya South Africa, Nigeria na Misri. Ndio nchi yenye mifugo mingi zaidi barani Africa.
 
Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza Kwa kupata Treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, Barabara za Juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki. LAKINI najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa KUIKIMBIA nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
Kwanza, Ethiopia ni nchi ambayo imekuwa katika vita kwa muda mrefu sana, Imepigana vita na Eritrea kwa miaka 30, imepigana vita na Somalia kwa miaka 10, kumekuwepo na vita vya wao wenyewe kwa miaka takribani 20, na miaka ya hivi karibuni kumekuwepo uasi wa Tigray uliopelekea vita kubwa tu.

Pili Ethiopia inakabiliwa na overpopulation, maendeleo yanafanyika ila idadi ya watu nayo inaongezeka kwa kasi zaidi.
 
Sio lazima nchi iwekeze kwenye kilimo cha chakula ili raia wake wawe na maisha mazuri, Hata hivyo Sekta ya kilimo Ethiopia ni kubwa kuliko Tanzania,
Ethiopia ni wazalishaji namba 4 wa mahindi barani Africa baada ya South Africa, Nigeria na Misri. Ndio nchi yenye mifugo mingi zaidi barani Africa.
Chakula cha Ethiopia kinakuwa Exported kwa asilimia zaidi ya 70 kupitia Addis Ababa, Waethiopia wengi waliopo nje ya Addis Ababa wana maisha ya Ufukara sana na Njaa

Same to Eritrea....na Vita ni sababu nyingine
 
Back
Top Bottom