Geok
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 164
- 420
Kenya middle class ni wengi ndio, na maskini ni wengi pia.Wakiwekwa kwenye ratio Kenya ina watu wa daraja la kati middle class wengi kuliko Tanzania, huo ndio ukweli japo wengi wa watanzania hawaelewi hilo baada ya kukaririshwa kiuongo kwamba Kenya wana maisha magumu kuishinda Tanzania japo ukweli ni kwamba watanzania wanasota ile mbaya ila ni wavumilivu sana kushinda wakenya.