Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Human rights abuses
Ethiopians wameuwawa sana kwa sababu za kisiasa ndio maana wengi wanakimbia nchi
Pia kuna ukamwe sana hawana sehemu kubwa ya kilimo
Nakumbuka kulikuwa na machafuko baina yao, wengi wakaanza kukimbia nchi kwa miguu na hapo ndio amri ikatoka wanajeshi wawauwe raia wanaoikimbia nchi
Aisee walipigwa risasi wananchi wengi sana huku wanakimbia
Mtu hataki kukaa nchini unamuulia nini?
Kuna watu wana roho mbaya aisee, halafu wakifanikiwa kuingia nchi jirani wakikimbiza roho zao na wao wanawakamata kama maharamia na hata kuwadhulumu walichonacho na kuwaanika juani kwa mbwembwe na kuwapiga mapicha kama wamekamata wahalifu shame on you
Watu wamekimbia abuses na wengine wanawafanyia mabaya zaidi
Hao ni wa kuwahurumia