kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

Jamaa jinga kweli. Eti kenya kuna middle class wengi halafu hapo hapo maskini ni wengi.

Yaani middle class ni wengi kuliko Tanzania also Maskini ni wengi kuliko Tanzania. 😀 😀 😀 😀

Akili za wenzetu zipo kwenye makalio
Kama wewe ni mtu mwenye akili sawa sawa usingeandika huo upuuzi wako. Ungekuja na hoja yenye mashiko kunikosoa, unaropoka ropoka tu. Na nilichomaanisha ni kwamba rate ya watu wa hali ya chini/wasio na kazi kwa nchi ya kenya ni kubwa kuliko Tz. Na maisha ya kenya sio lele mama. Kuna rate kubwa ya mfumuko wa bei za bidhaa. Acha kuropoka mzee, ongea na hoja sio huo upuuzi wako.
 
Attachments

  • Screenshot_20240729-073511~2.jpg
    Screenshot_20240729-073511~2.jpg
    36.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240729-073501~2.jpg
    Screenshot_20240729-073501~2.jpg
    42.7 KB · Views: 1
Kama wewe ni mtu mwenye akili sawa sawa usingeandika huo upuuzi wako. Ungekuja na hoja yenye mashiko kunikosoa, unaropoka ropoka tu. Na nilichomaanisha ni kwamba rate ya watu wa hali ya chini/wasio na kazi kwa nchi ya kenya ni kubwa kuliko Tz. Na maisha ya kenya sio lele mama. Kuna rate kubwa ya mfumuko wa bei za bidhaa. Acha kuropoka mzee, ongea na hoja sio huo upuuzi wako.
😀 😀 😀 😀 Msumari wa moto umekuchoma siyo.
Kwani nani aliyesema Maskini wapo wengi kenya na midlle class wapo wengi pia?

Wewe ndiye uliyeleta mada hiyo. Ona sasa unaleta mada ya employment 😀 😀 😀
We jinga kabisa
Usitusumbue humu na comments zako hizi za kuropoka
 
Huwezi kuelewa haya mambo wakati wewe sukari kilo hata ukiuziwa sh elfu kumi unakodoa macho tu kama mdoli.
Unalazimisha watu waelewe upumbavu wako? Maisha mazuri yanaonekana kijana. Huwezi kuyaficha. Na maisha duni yanaonekana pia.

Ewe Mkenya mbumbumbu aka a fool Kundustan utamwambia nini mtanzania anayekula chakula vizuri??

Rudi kwenu kibera mkashughilike na flying toilets 😀 😀 😀
 
Kenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
Hapana. Maisha ya Tanzania kwa raia wa kawaida ni marahisi kuliko ya Kenya kwa raia wa daraja la kawaida. Ugumu na umaskini mbaya kwa raia wa Tanzania upo katika baadhi ya mikoa hasa mikoa kame ya Dodoma, Singida na ukanda wa Pwani kutokana na asili yao ya uvivu na kuridhika haraka kama ilivyo kwa Pwani ya Kenya kama Kwale.
 
Usiwaite watu Nguruwe. They are humans like me and you. Pia kumbuka hao watu unaowatukana hawapo huku jukwaani. Wewe huku tukanana na Yoda upendavyo
NImeakuwambia nitajie mkoa mmoja tu Tanzania watu wanaishi maisha kama nguruwe ya huko Turkana 🤣 🤣 🤣 🤣 Yaani watu wanaishi maisha magumu kama hivi unataka kutufananisha nao!!

View attachment 3054854
Usiwaite watu nguruwe. They are human beings like me and you. Wewe humu jukwaani tukanana na Yoda uwezavyo ilmdrahi admin amewavumbia macho.
 
Sio kweli asee, hv unaijua sehemu inaitwa kibera hapo kwny mji wao wa nairobi? Iyo ndo biggest slum in africa. Na hapo hujaenda baadhi ya kaunti nyingine. Asee Tz kuna afadhali kuliko kenya.
Mkuu Umewahi Fika Kibera?
 
Usiwaite watu Nguruwe. They are humans like me and you. Pia kumbuka hao watu unaowatukana hawapo huku jukwaani. Wewe huku tukanana na Yoda upendavyo

Usiwaite watu nguruwe. They are human beings like me and you. Wewe humu jukwaani tukanana na Yoda uwezavyo ilmdrahi admin amewavumbia macho.
Wapi nimewaita watu nguruwe?
Huoni kuwa nimesema Wanaishi kama Nguruwe

Usinilishe maneno ambayo sijasema
 
Hapana. Maisha ya Tanzania kwa raia wa kawaida ni marahisi kuliko ya Kenya kwa raia wa daraja la kawaida. Ugumu na umaskini mbaya kwa raia wa Tanzania upo katika baadhi ya mikoa hasa mikoa kame ya Dodoma, Singida na ukanda wa Pwani kutokana na asili yao ya uvivu na kuridhika haraka kama ilivyo kwa Pwani ya Kenya kama Kwale.
Raia wa kawaida wa Tanzania ni wa kipato cha kiwango gani?
 
Raia wa kawaida wa Tanzania ni wa kipato cha kiwango gani?
Raia wa kawaida wa Tanzania wana acess to land na hivyo wanajilimia na kujipatia mahitaji yao ya kila siku bila gharama kubwa maana wanalimia na kufuga katika ardhi yao bila kulipa kodi ya moja kwa moja.
 
Sehemu kubwa ya Ethiopia na Rwanda hata hazina miondombinu bora bado, watu wakiona mji mkuu au miji michache wanapumbazika wanafikiri na kwingine kote ndio miondombinu iko bora hivyo.
hata bongo ni hivyohivyo
 
Back
Top Bottom