I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
+ haikutawaliwa na wakoloni. Sijui wanafeli wapi. Wangekuwa mbali sana hawa jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuuliza military force ngapi unaandika mgawanyiko state ziundazo RussaRussia is divided into 89 federal subjects. These include:
1. 22 republics
2. 9 krais (territories)
3. 46 oblasts (provinces)
4. 3 federal cities (Moscow, Saint Petersburg, and Sevastopol)
5. 1 autonomous oblast (the Jewish Autonomous Oblast)
6. 8 autonomous okrugs (districts)
Each type of federal subject has a different level of administrative autonomy.
WasingeandamanaKenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
Living cost haihusiani na kiwango cha umaskini, nchi zenye highest living cost duniani ni pamoja na Switzerland, Norway, Japan, Singapore, Israel,Yoda umeishi Kenya na kwa muda gani? living cost in Kenya is very higher than in Tanzania. Kwa miezi zaidi ya 6 niliyoishi Nairobi na viunga vyake nakuthibitishia hilo
Wanaandamana kwa sababu wana katiba bora.Wasingeandamana
Vita vya hapa na pale vipo Sana huko Ethiopia mfano kule Tigray mpakani na Eritrea na Ogaden mpakani na Somalia.Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
Nadhani hutaki kusoma siyo. Kabla ya comment yangu hii nilikujibu #116Nimekuuliza military force ngapi unaandika mgawanyiko state ziundazo Russa
Stupid. The most worst constitution ni ya Kenya. Unaongea hivyo kwa sababu wewe ni Mkenya.Wanaandamana kwa sababu wana katiba bora.
Kwanza Ethiopia aipo Africa mashark mkuu kule kuna njaa majanga ya kiasili kama ukame mara kwa mara vta ya wenywe kwa wnywHii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki.
Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
View attachment 3054635
View attachment 3054640
View attachment 3054643
View attachment 3054644
View attachment 3054645
Kwani tumeongelea umasikini mkuu Yoda? Unaweza ukawa masikini lakini bado ukawa na uwezo wa kuafford garama za maisha. Kwaninibunasema Kenya kuna maisha maraisi sana?Living cost haihusiani na kiwango cha umaskini, nchi zenye highest living cost duniani ni pamoja na Switzerland, Norway, Japan, Singapore, Israel,
Iko chini ya Russian military forces. Hawana maamuzi yoyote bila Russian military headquarters. Hiyo ndo ilikuwa maana yangu Kule. Mikoa ya Kule Ethiopia yenye jeshi Ina maamuzi yake yenyewe bila ushawishi wa Ethiopian military headquarters.Nadhani hutaki kusoma siyo. Kabla ya comment yangu hii nilikujibu #116
Kila Republic ndani ya Russia ipo na jeshi.
Mfano hawa ni Chechen Army
View attachment 3055171
Siyo kweli unachokiongea. Ethiopia ipo na Ethiopian National Defense ForceIko chini ya Russian military forces. Hawana maamuzi yoyote bila Russian military headquarters. Hiyo ndo ilikuwa maana yangu Kule. Mikoa ya Kule Ethiopia yenye jeshi Ina maamuzi yake yenyewe bila ushawishi wa Ethiopian military headquarters.
Ndo maana hupigana na Ethiopian military
Kama unaongelea gharama za maisha tu, gharama za maisha Kenya ziko kuliko Tanzania,Kwani tumeongelea umasikini mkuu Yoda? Unaweza ukawa masikini lakini bado ukawa na uwezo wa kuafford garama za maisha. Kwaninibunasema Kenya kuna maisha maraisi sana?
Maandiko kwa mujibu wa bible yanadai enendeni ulimwenguni mkaujaze ulimwengu, hakusema ni lazima muwe sehemu moja!Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki.
Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
View attachment 3054635
View attachment 3054640
View attachment 3054643
View attachment 3054644
View attachment 3054645
Hiyo sio hoja eti kutawaliwa na wakoloni hata Marekani ilitawaliwa na Uingereza na Canada na Australia vilevile ni makoloni ya Uingereza lakini wako vizuri tu.+ haikutawaliwa na wakoloni. Sijui wanafeli wapi. Wangekuwa mbali sana hawa jamaa
Marehemu Kenyatta wakati akiwa madarakani aliwahi kusema yeye alikuwa akitawala wagonjwa nchini kwake Kenya wakati Nyerere alikuwa akitawala maiti nchini kwake Tanzania.Hayo maandamano wanayofanya kila kukicha ni ya nini Kama kweli hawana maisha magumu wacha chuki zako kwenye nchi yetu pendwa ya tz su hamia kenya 🙄🙄🙄😎😎
Na wewe ukamwamini 😀 😀 😀 Stupid KundustanMarehemu Kenyatta wakati akiwa madarakani aliwahi kusema yeye alikuwa akitawala wagonjwa nchini kwake Kenya wakati Nyerere alikuwa akitawala maiti nchini kwake Tanzania.
Leo tunashuhudia ukweli wa kile alichokisema marehemu Kenyatta.
Kenyatta alikuwa sahihi kabisa kwani aliona kitu ambacho wewe hadi leo umeshindwa kuona.Na wewe ukamwamini 😀 😀 😀 Stupid Kundustan