Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 2,096
- 5,211
Kwanini sasa wanakimbia nchi yao mkuu.!??Sio lazima nchi iwekeze kwenye kilimo cha chakula ili raia wake wawe na maisha mazuri, Hata hivyo Sekta ya kilimo Ethiopia ni kubwa kuliko Tanzania,
Ethiopia ni wazalishaji namba 4 wa mahindi barani Africa baada ya South Africa, Nigeria na Misri. Ndio nchi yenye mifugo mingi zaidi barani Africa.