kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

Kenyatta alikuwa sahihi kabisa kwani aliona kitu ambacho wewe hadi leo umeshindwa kuona.
Kitu gani aliona 😀 😀 😀 😀 ambacho kinaonwa na watu wawili tu? Yaani Marehemu Kenyatta na Imeloa

Stupid Kundustan
 
Wamewekeza kwenye material things na sio kwenye kilimo cha chakula, hata Umeme wanao wa kutosha tatizo NJAA

Hawana ardhi kubwa na nzuri ya kulima nafaka
Nani kakudanganya Ethiopia ina umeme wa kutosha!?
Ethiopia haina umeme huo.
Ethiopia haitengenezi mapato makubwa kama idhaniavyo,ndio maana sehemu ya bajeti yake ya nchi ni Ufadhili toka WB.
Kuna massive unemployment pia kuna uhaba wa chakula.
 
Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki.

Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?

View attachment 3054635
View attachment 3054640
View attachment 3054643
View attachment 3054644
View attachment 3054645
Ethiopia kuna vita za kikabila zinazotokea na kupotea.
Mwaka huu tu mwanzoni huko jiji la Amhar watu wa makabila tofauti wamepigana shaba.
Pia hata hiyo miundombinu haijenhwi kwa mapato yao ya nchi,bali pesa za Ufadhili toka WB.
-Ukosefu wa ajira kwa mapato madogo.
-Uhaba wa chakula.
-Vita za ukabila.
Hizi ndio sababu kuu za vijana kuikimbia Ethiopia yao mkuu.
 
Nchi nyingi za Afrika uchumi wake siyo inclusive kwa raia wa kawaida. Mfano mgogo wa kawaida itamsaidia nini Esijiaraa..hapo atabaki kuwa mpenzi mtazamaji tuu kwa matajiri
 
Marehemu Kenyatta wakati akiwa madarakani aliwahi kusema yeye alikuwa akitawala wagonjwa nchini kwake Kenya wakati Nyerere alikuwa akitawala maiti nchini kwake Tanzania.

Leo tunashuhudia ukweli wa kile alichokisema marehemu Kenyatta.
Sio lazima tufanane Kama wakenya
Hamia Kenya musee sisi tuendelee na maisha yetu ya umaiti maiti au uzombi zombi wetu
Usituletewe ukorofi wenu wa huko kunyaland..😎😎😎
 
Nchi nyingi za Afrika uchumi wake siyo inclusive kwa raia wa kawaida. Mfano mgogo wa kawaida itamsaidia nini Esijiaraa..hapo atabaki kuwa mpenzi mtazamaji tuu kwa matajiri
Kumbuka kaka mapato ya SGR yakiongezeka yanaongeza pato la taifa ambalo hilo litasaidia bajeti ya nchi kutatua kero za raia kaka.
Pia pato la reli likiongezeka mishahara itaongezeka kwa watumishi wa reli na pia ajira zitaongezeka hapo shirika la reli mkuu.
 
Wakiwekwa kwenye ratio Kenya ina watu wa daraja la kati middle class wengi kuliko Tanzania, huo ndio ukweli japo wengi wa watanzania hawaelewi hilo baada ya kukaririshwa kiuongo kwamba Kenya wana maisha magumu kuishinda Tanzania japo ukweli ni kwamba watanzania wanasota ile mbaya ila ni wavumilivu sana kushinda wakenya.
Watanzania sio wavumilivu ila ni maiti
 
Kenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
Inategemea Tanzania sehem fani. Mbeya chips za 3000 unaletewa benseni zima.

Ethiopia 🇪🇹
Screenshot_20240728_213141_Chrome.jpg


Screenshot_20240728_213042_Chrome.jpg


Poverty in Ethiopia 🇪🇹
Screenshot_20240728_213244_Chrome.jpg

Source: Google Photo...
Kunamaeneo ni hatari
 
Jamaa jinga kweli. Eti kenya kuna middle class wengi halafu hapo hapo maskini ni wengi.

Yaani middle class ni wengi kuliko Tanzania also Maskini ni wengi kuliko Tanzania. 😀 😀 😀 😀

Akili za wenzetu zipo kwenye makalio
,🤣🤣🤣
 
Inategemea Tanzania sehem fani. Mbeya chips za 3000 unaletewa benseni zima.
Urahisi wa maisha sio chakula tu, pia ugali sukuma au githeri ni bora kuliko chips za 3,000 .
 
Back
Top Bottom