Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kawasalimie Kibera waambie umekutana na miamba wa Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣Siwezi kubishana na kijana wa mbagala kuu.
Aya umeshinda mkuu na nchi yako Tanzania tajiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawasalimie Kibera waambie umekutana na miamba wa Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣Siwezi kubishana na kijana wa mbagala kuu.
Aya umeshinda mkuu na nchi yako Tanzania tajiri.
Mwongo mkubwa wewe. Tena kaa kimyaKenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
😂😂😂😂😂 sawa mwambaKawasalimie Kibera waambie umekutana na miamba wa Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣
Nenda kasaidizane na wakenya wenzako kupunguza flying toilets nairobi😂😂😂😂😂 sawa mwamba
Mzee sina muda wa kujibishana na wewe. Maana nimeshagundua wewe ni Mkenya aka Kundustan 🤣 🤣 🤣 🤣Tanzania tunaendelea? Angalia takwimu hizi - Ufukara, Njaa, Udumavu, Vifo vya Uzazi na Ajira...
Tunaendelea? UFUKARA 64% ya Watanzania hawakuweza kumudu maisha mwaka 2014. Mwaka 2018 Watanzania wasiomudu gharama za msingi za maisha ni 76% NJAA 22% ya Watanzania walikuwa wanashinda au kulala na njaa mwaka 2014. Mwaka 2018 Watanzania 27% wanashinda au kulala na Njaa UDUMAVU 34.4% ya...www.jamiiforums.com
Katika karne hii hata huhitaji kufika Marekani, Ulaya au Japan kujua zimeendelea kuliko Tanzania na raia wake wana maisha bora kuliko TanzaniaUnaamini hatujawahi kuwa hapo Kenya si ndio!?
Raia wanaoishi chini ya mstari wa umaskini Kenya ni 16% wakati Tanzania ni 26%.Mwongo mkubwa wewe. Tena kaa kimya
Hizo taatifa umezitoa wapi? 😀 😀 nenda kawatangazie Kundusta Gen Z taarifa hizo.Raia wanaoishi chini ya mstari wa umaskini Kenya ni 16% wakati Tanzania ni 26%.
(7.8M÷milioni 52)= 15.%Hizo taatifa umezitoa wapi? 😀 😀 nenda kawatangazie Kundusta Gen Z taarifa hizo.
Wewe ni Mkundustan
View attachment 3054994
Biggest slum in africa ni kiberaBiggest slums kubwa katika hii dunia ziko India, Mexico na South Africa. Slums za India na Mexico ni kubwa zaidi duniani lakini hiyo haimaanishi tumeendelea kuzidi hizo nchi.
Kaunti nyingi za Kenya zina maendeleo kuliko Tanzania, majiji ya Kenya ya Nairobi, Mombasa, Kisumu ni makubwa kuliko yote ya Tanzania kwa pamoja. Kuna kaunti nyingi Kenya ambazo hata hawaiti majiji ili ni kubwa kuliko Mbeya na Tanga.
Inafuatiwa na Khayelitsha huko Cape Town, Africa Kusini.Biggest slum in africa ni kibera
Uhalisia mara nyingi hauendani na standards,kenya kupata sh 5000 ya kitanzania ni rahisi lakini matumizi ya hio pesa kwa mahitaji ya msingi kama chakula na malazi haviendani pia..Gharama za maisha lazima uziweke unapofanya ulinganifu wa kipato16% ya Wakenya wanaishi chini ya mstari wa umaskini wakati Tanzania ni 26%.
Umeelezwa wanaoishi below poverty line ni 10.6m.(7.8M÷milioni 52)= 15.%
Kwa mtindo huo Watanzania wanaoishi below poverty line ni 26 Millions.Umeelezwa wanaoishi below poverty line ni 10.6m.
😀 😀 Hujui kusoma kingereza?
Hayo maandamano wanayofanya kila kukicha ni ya nini Kama kweli hawana maisha magumu wacha chuki zako kwenye nchi yetu pendwa ya tz su hamia kenya 🙄🙄🙄😎😎Wakiwekwa kwenye ratio Kenya ina watu wa daraja la kati middle class wengi kuliko Tanzania, huo ndio ukweli japo wengi wa watanzania hawaelewi hilo baada ya kukaririshwa kiuongo kwamba Kenya wana maisha magumu kuishinda Tanzania japo ukweli ni kwamba watanzania wanasota ile mbaya ila ni wavumilivu sana kushinda wakenya.
Ulaya na Marekani raia wanaandamana kuliko TanzaniaHayo maandamano wanayofanya kila kukicha ni ya nini Kama kweli hawana maisha magumu wacha chuki zako kwenye nchi yetu pendwa ya tz su hamia kenya 🙄🙄🙄😎😎
Regional office kwa MNcs na INGO kwa EA nyingi zipo KE, so ndo kusema anaajiriwa mtu wa IT wa INGO anamanage KE, TZ, RW, BU, UG, Sasa huyu kwa workload hiyo automatically mshahara wake unakuwa mkubwa na ndo maana middle income earners ni wengi kenya , Tanzania kiduchu, then huyu IT baadae utamkuta yupo HQ US anazidi chanja mbuga tu so again hapo unakuta kuna KEs wengi US, Europe wanapiga mzigo kuliko Tzee.Wakiwekwa kwenye ratio Kenya ina watu wa daraja la kati middle class wengi kuliko Tanzania, huo ndio ukweli japo wengi wa watanzania hawaelewi hilo baada ya kukaririshwa kiuongo kwamba Kenya wana maisha magumu kuishinda Tanzania japo ukweli ni kwamba watanzania wanasota ile mbaya ila ni wavumilivu sana kushinda wakenya.