Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata TanzaniaEthiopia hawapishani sana na Kenya, wamewekeza nguvu nyingi kwenye miundombinu na sio urahisi wa maisha ya raia.
Urahisi gani mkuu acha kudanganya watuKenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
Urahisi wa kupata pesaUrahisi gani mkuu acha kudanganya watu
OverpopulationLakini wananchi wao ndo wanaongoza kwa kukimbia nchi yao
Eeh wewe hata kama ndio unapenda vya kwako kweli ukafananishe adis ababa na dar kweli..???Acha kupotosha kwanza hiyo picha ya juu ni render na sio ethiopia! Pili Addis ababa kamejengeka sehemu ndogo tu hata kwa dar bado sana
Sio lazima nchi iwekeze kwenye kilimo cha chakula ili raia wake wawe na maisha mazuri, Hata hivyo Sekta ya kilimo Ethiopia ni kubwa kuliko Tanzania,Wamewekeza kwenye material things na sio kwenye kilimo cha chakula, hata Umeme wanao wa kutosha tatizo NJAA
Hawana ardhi kubwa na nzuri ya kulima nafaka
Kwanza, Ethiopia ni nchi ambayo imekuwa katika vita kwa muda mrefu sana, Imepigana vita na Eritrea kwa miaka 30, imepigana vita na Somalia kwa miaka 10, kumekuwepo na vita vya wao wenyewe kwa miaka takribani 20, na miaka ya hivi karibuni kumekuwepo uasi wa Tigray uliopelekea vita kubwa tu.Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza Kwa kupata Treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, Barabara za Juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki. LAKINI najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa KUIKIMBIA nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
Chakula cha Ethiopia kinakuwa Exported kwa asilimia zaidi ya 70 kupitia Addis Ababa, Waethiopia wengi waliopo nje ya Addis Ababa wana maisha ya Ufukara sana na NjaaSio lazima nchi iwekeze kwenye kilimo cha chakula ili raia wake wawe na maisha mazuri, Hata hivyo Sekta ya kilimo Ethiopia ni kubwa kuliko Tanzania,
Ethiopia ni wazalishaji namba 4 wa mahindi barani Africa baada ya South Africa, Nigeria na Misri. Ndio nchi yenye mifugo mingi zaidi barani Africa.
Sio kweli asee, hv unaijua sehemu inaitwa kibera hapo kwny mji wao wa nairobi? Iyo ndo biggest slum in africa. Na hapo hujaenda baadhi ya kaunti nyingine. Asee Tz kuna afadhali kuliko kenya.Kenya kuna urahisi wa maisha ya raia kuliko hata Tanzania
Bharain haina kilimo, kila kitu ni imported, mbona hawakimbii nchi yao?Wamewekeza kwenye material things na sio kwenye kilimo cha chakula, hata Umeme wanao wa kutosha tatizo NJAA
Hawana ardhi kubwa na nzuri ya kulima nafaka
Kukimbia Nchi mara nyingine kunatokana na aina ya Uongozi uliopo katika nchi husikaBharain haina kilimo, kila kitu ni imported, mbona hawakimbii nchi yao?