Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Chuma kwa wapumbavu ukatumie kwa wenye akili. Hii kanuni hauijui mkuu?Uhakika?Haujasikia hotuba yao ya Mei Mosi?Ukiegemea population yao utupe na vyanzo vyao vya mapato.Kama umeme huwa unawashinda kulipa,hizo fedha za ziada za kulipana nauli na nyongeza za mishahara wanazitoa wapi?Kalaghabaho!
Tena Zanzibar ni padogo sn mtu anaweza kutembea kwa miguu, bara mtu anatoka Mailmoja mpk Posta anatumia zaidi ya elf 5 kwenda na kurudi kila sikuWatanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Nakubaliana na hoja yakoChuma kwa wapumbavu ukatumie kwa wenye akili.Hii kanuni hauijui mkuu?
Tuamke maana na hiyo nauli inatoka baraWatanganyika tunabaguliwa sana yaani sana yaani sana
Mwinyi ni mtu Kisarawe. Au ndio kusema wapwani wote ndugu? Inafikirisha!Marais wote tulionao kwasasa ni wazenji na kumbuka "mtuuu kwao".
Kunavinchi kwa baiskeli unakamaliza alafu wanapewa nauli mradi isisomeke kaongeza mishahara wabarabara watashtuka!!!
Hela si hizi za mikopo tunagawana?Kwamba zimetoka wapi? Nchi haina mapato?
Kisarawe? Alafu akaiongeze zenji...Mwinyi ni mtu Kisarawe. Au ndio kusema wapwani wote ndugu? Inafikirisha!
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
SioMapato wanayoshindwa kulipia umeme wanaoutumia?
Ukubwa pua sio wingi wa Kamasi unaifananisha Zanzibar na temeke ? Mwambieni basi huyo Raisi wa temeke awape na nyinyi posho ya nauli pole sanaHili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania
swali ni je nauli ni suala la muunganoWatanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Ndugu yangu sisi watanganyika tupo wengi tu wenye akili tatizo ni viongoz wa ccm wenye mamlaka,tunafanyaje?hadi tutakapowaondoa madarakaniZanzibar ni nchi yenye mambo yake ni upumbavu kutamani yanayo fanywa na wenye akili kufanywa kwa wapumbavu {Watanganyika}.
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Ila wakinunua magara ya billions of money hatufilisiki?Sasa wale wapo wachache Sana
Huku kwetu ukitoa 50 Kwa wafanyakazi wote tunafirisika