Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Chuma kwa wapumbavu ukatumie kwa wenye akili. Hii kanuni hauijui mkuu?Uhakika?Haujasikia hotuba yao ya Mei Mosi?Ukiegemea population yao utupe na vyanzo vyao vya mapato.Kama umeme huwa unawashinda kulipa,hizo fedha za ziada za kulipana nauli na nyongeza za mishahara wanazitoa wapi?Kalaghabaho!