Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh huu ugonjwa hatar sana kumbeKisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.
Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una peressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.
Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.
Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.
Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.
Natumaini utapata mwanga kidogo.
Yeah na unashauriwa mtu kama unajua una kisukari uwe unajikagua mara kwa mara kuona kama una kidonda au jeraha ili uweze kuwahiwa mapema kabla maambukizi hayajakuwaduh huu ugonjwa hatar sana kumbe
KaribuAsante mkuu nimejifunza kitu
Aise we acha tu mm ninarafiki yangu yamemkuta hata hospital hajatoka kisukari kimeshamfanya hakuna mguuKuna kitu nimeki-observe kwa wagonjwa wengi wa kisukari.
Wengi wao huishia kukatwa m/miguu na si mikono au kiungo kingine chochote.
Je hii inasababishwa na nini?
Mkuu hii ya maambukizi ya vidonda na mambo ya PAD, ni kwa stage zote za ugonjwa?Kisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.
Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una pressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.
Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.
Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.
Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.
Natumaini utapata mwanga kidogo.
Na kutokea kwa vidonda ghalfa husababishwa na nini?Kisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.
Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una pressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.
Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.
Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.
Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.
Natumaini utapata mwanga kidogo.
Kama umesoma vizuri nimekuambia PAD husababisha "nerve damage" ambayo humsababisha mtu asipate maumivu hata anapokua na kidonda. Mfano kama jipu huwa linaanzia ndani tu na kama uko normal utasikia maumivu fulani, lakini kwa mtu ambae tayari ameshapata hii PAD inakua anajiona yupo sawa tu mpaka pale jipu limeiva linatokeza ndio anashtuka.Na kutokea kwa vidonda ghalfa husababishwa na nini?
Bibi yangu alilala asubuhi akajikuta ana donda kubwa mguuni
Alikuwa na sukari
Mmmh asanteKama umesoma vizuri nimekuambia PAD husababisha "nerve damage" ambayo humsababisha mtu asipate maumivu hata anapokua na kidonda. Mfano kama jipu huwa linaanzia ndani tu na kama uko normal utasikia maumivu fulani, lakini kwa mtu ambae tayari ameshapata hii PAD inakua anajiona yupo sawa tu mpaka pale jipu limeiva linatokeza ndio anashtuka.
I hope utakuwa umenielewa
Mzunguko wa damu katika miguu yao inakuwa dhaifu(damu haifiki) kupelekea kiungo/viungo (vidole) kuoza na hatimae kukatwa.Kuna kitu nimeki-observe kwa wagonjwa wengi wa kisukari.
Wengi wao huishia kukatwa m/miguu na si mikono au kiungo kingine chochote.
Je hii inasababishwa na nini?
Sasa kwa nn ushindwe kukagua miguu yako ka ina kidonda ili kuwai Hosp kwajil y matibabu ya arak pasipo kungoja mpk maumivu if unajijua una uo ugonjwa eti.Kisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.
Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una pressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.
Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.
Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.
Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.
Natumaini utapata mwanga kidogo.
Aseeee nimetetemeka dah huu ugonjwa wa kimapepo tuMzunguko wa damu katika miguu yao inakuwa dhaifu(damu haifiki) kupelekea kiungo/viungo (vidole) kuoza na hatimae kukatwa.