Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ukipata nerve damage ni kama mguu unakuwa na ganzi. Na kutokana na kuwa miguu inakuwa na damu ndogo basi mwili hauna uwezo wa kupambana na infections zinazotokea upande wa miguu so ni rahisitu kupata kidonda (jipu).Sasa kwa nn ushindwe kukagua miguu yako ka ina kidonda ili kuwai Hosp kwajil y matibabu ya arak pasipo kungoja mpk maumivu if unajijua una uo ugonjwa eti.
Mfano mtu anapata jibu katikati ya vidole vya mguuni na maumivu hasikii inakuwa ngumu sana ku detect tatizo mpaka unakuja kujikuta limekuwa kubwa.
Hivyo ndio maana hapo juu nilishauri kama wewe una kisukari uwe na mazoea ya kujikagua mara kwa mara kuona kama una kidonda chochote miguuni..