Kwanini wagonjwa wa Kisukari hukatwa miguu na si mikono au kiungo kingine?

Inawezekana siku zake zilifika mkuu. May be amputation inaweza ikawa ilichangia ila unless uwe ulimfanyia postmortem mimi siwezi kujua chanzo. Kwasasabu inawezekana aliugua malaria within thosedays ndio ikamuondoa. Hapokupata jibu sahihi ungemuuliza daktari alietoa report ya kifo.
Naona umezunguka tu..
Jibu mbona liko straight. Alipoteza damu nyingi wakati wa operation
 
Kwasababu huu ugonjwa unasababisha damage ya nevres na blood vessels hivyo kupelekea "erectile dysfunction"

Kama ujuavyo kuwa mwanaume anapopata hisia za kungonoka basi taarifa hutuma kutoka kwenye ubongo ili ku pump damu kuelekea kunako mkuyenge, kutokana na nerve kuwa zimeharibiwa receptors zinakua sio rahisi kupokea taarifa ile kutoka kwenye ubongo au hata zikipokea basi kutokana na mishipa ya damu kuwa imekuwa membamba au damaged (refer PAD) basi hupelekea mtu diabetic kushindwa kabisa kupata erection au kushindwa ku mantain erection kwa muda.
Aisee! Huu ugonjwa kumbe ni balaa namna hii, kushindwa kupiga mashine tena? Watu wa mitishamba tafadhali, hakuna njia mbadala ya tiba huko kwenu?
 
Hahaha wewe umewaza hilo tu.
 
Kisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.

Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una pressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.

Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.

Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.

Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.

Natumaini utapata mwanga kidogo.
Asante kwa somo ufafanuzi mzuri mkuu.
 
Somo murua.
 
Inawezekana siku zake zilifika mkuu. May be amputation inaweza ikawa ilichangia ila unless uwe ulimfanyia postmortem mimi siwezi kujua chanzo. Kwasasabu inawezekana aliugua malaria within thosedays ndio ikamuondoa. Hapokupata jibu sahihi ungemuuliza daktari alietoa report ya kifo.

Huenda suala la kupoteza damu au athari za ki saikolojia zinapelekea hawa watu kukata tamaa na kufariki, nna kesi za watu watatu ambao walikua na kisukari, walifariki baada ya kukatwa miguu.

Nimependa sana jibu lako kwamba siku inakua tu imefika, lakini nimependa zaidi maelezo yako juu ya ugonjwa wa kisukari.

Barikiwa sana na Mungu akuzidishie maarifa na ufahamu ukaendelee kuwa msaada kwa wengine.
 
Huenda suala la kupoteza damu au athari za ki saikolojia zinapelekea hawa watu kukata tamaa na kufariki, nna kesi za watu watatu amvao walikua na kisukari, walifariki baada ya kukatwa miguu.

Nimependa sana jibu lako kwamba siku inakua tu imefika, lakini nimependa zaidi maelezo yako juu ya ugonjwa wa kisukari.

Barikiwa sana na Mungu akuzidishie maarifa na ufahamu ukaendelee kuwa msaada kwa wengine.
Shukrani sana mkuu.
 
Kisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.

Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una pressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.

Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.

Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.

Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.

Natumaini utapata mwanga kidogo.
 
Mkuu hakuna dawa ya sukar..?
Mkuu kwa nijuavyo mimi kisukari hakina tiba. Bali unaweza kupunguza madhara yake kwa ku manage kiwango cha sukari katika damu kiwe notmal.

Njia nzuri za kuweza ku manage kiwango cha sukari kwenye damu ni pamoja na kupunguza kula vyakupa vya wanga, kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi (fibers), kufanya mazoeazi mara kwa mara, ku monitor kiwango cha sukari mara kwa mara na nyingine nyingi siwezi kutaja zote.

Nadhani ukitembelea hospital utapata maelekezo na ushauri zaidi kwa wataalam.
 
Niulize tu sasa kwa wale wanaopata ulabu- ni basi wasipate ulabu kabisa katika maisha yao yote au kuna aina ya ulabu utawafaa? Au kuna aina ya ulabu hauna sukari? Au hata glasi ya red wine basi? Yaani kazi kweli kweli!

Shukrani nyingi Mkuu!
 
Mkuu kwa nijuavyo mimi kisukari hakina tiba. Bali unaweza kupunguza madhara yake kwa ku manage kiwango cha sukari katika damu kiwe notmal.

Njia nzuri za kuweza ku manage kiwango cha sukari kwenye damu ni pamoja na kupunguza kula vyakupa vya wanga, kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi (fibers), kufanya mazoeazi mara kwa mara, ku monitor kiwango cha sukari mara kwa mara na nyingine nyingi siwezi kutaja zote.

Nadhani ukitembelea hospital utapata maelekezo na ushauri zaidi kwa wataalam.
Mfano tu akiwa ameipata sukar akifanya hivyo vitu atapona kbsaa?
 
Mkuu issue ya kisukari ni somo kubwa kidogo. Maana kuna aina toauti tofauti za kisukari. Ndio maana nimekuambia mimi sio doctor bali nimefanikiwa kupata elimu kidogo tu kuhusu huu ugonjwa na mambo mengine.

Hivyo ili upate majibu ya uhakika kabisa na ushauri mkuu nakushauri ungeenda hospital ukaonana na wataalam wenyewe.
 
Kuna madoctor hopeless kabisa hawawezi kutoa ufafanuzi kama huu unao utoa hapa, hongera sana mkuu
 
Back
Top Bottom