Mkuu nadhani wenzetu huwa hawalali asee wanafanya research sana kuhusu haya magonjwa sugu (chronic diseases) kama diabetes, cancer, cardiovascular diseases n.k.
Lakini kwakuwa ni magonjwa ambayo hayatokani na virus, parasites, bacteria n.k (ni magonjwa yanayosababishwa zaidi na genetics, lifestyle, age, environmental/occupational factors) imekua ni challenge ya muda mrefu kupata suluhisho la moja kwa moja (tiba).
Tiba zilizopo nyingi ni za kureverse tu madhara ambayo yalishajiyokeza ambayo kwa wengi wanaowahi kugundua tatizo wanaweza kurudi kuwa normal kabisa lakini kama stages za magonjwa haya zimeshakuwa terminal (madhara yameshakuwa makubwa) huwa ni kupunguza makali tu maana kuna stages za haya magonjwa ni irreversible.
Ila believe me kuna watu wanaumiza vichwa usiku na mchana wakifanya researches kwaajili ya kupata suluhu za kudumu za magonjwa haya.
Moja wapo ya researches zinazoweza kuleta tumaini katika ku deal na haya magonjwa ni Genetic Engineering.
ephen_