Kwanini wagonjwa wa Kisukari hukatwa miguu na si mikono au kiungo kingine?

Ukiwa na hela,presha,kisukari na magonjwa ya moyo ndo rafiki zako

Ndo maaana sipendi kua tajiri[emoji16]
 
Kuna madoctor hopeless kabisa hawawezi kutoa ufafanuzi kama huu unao utoa hapa, hongera sana mkuu
Ukienda hospitali ubahatike kukutana na daktari aliyebobea (specialist) kwenye magonjwa ya kisukari. Ukimkutà generalist anaweza asiwe msaada. Wengi huwa wanamuandikia mgonjwa dawa za kisukari bila kumshauri mgonjwa aanze na diet na mazoezi kwa muda fulani kwanza. Wengi wanashauri wagonjwa wale sana matunda bila kuspecify ni matunda ya aina gani, kwani glycemic index ya matunda inatofautiana kwa kila tunda.
 
Mkuu kuna matunda ambayo yanaongeza sukari mwilini ?
 
Hiyo siyo kitaalamu bali kwa Kiingereza. Nyie ndio huwaga mnasema ujenzi wa barabara au kwa kitaalamu road construction.
Gangrene ni technical word (neno la kitaalamu) ambalo kwa kiingereza maana yake ni "putrefaction of tissues".

Kwahiyo pamoja na kwamba linatumika kwenye lugha ya kiingereza ni neno la kitaalamu maana kama ingekuwa ni kiingereza tu tungesema tissues putrefaction.

Either way. Mada iliyopo sio hiyo unayotaka kuanzisha.

CCM bwana. 😂😂
 
Ndiyo mkuu, matunda Kama mananasi, machungwa, matikiti na ndizi mbivu yanaongeza sukari kwa wingi na kwa haraka
Vipi kwa mtu ambaye hana kisukari akipendelea kula hayo matunda anaweza kupata kisukari ?
 
Matunda Ni mazuri kwa afya kwani yana vitamins nyingi ambazo hazipatikani kwenye vyakula vingine! Kama huna tatizo la kisukari unaweza kula matunda ya aina zote . Ila kwa mtu mwenye kisukari anapaswa kula matunda yasiyo na sukari nyingi ilikuepuka kupandisha sukari kwa haraka ( spiking of blood sugar)
 
Gangrene ni technical word (neno la kitaalamu) ambalo kwa kiingereza maana yake ni "putrefaction of tissues".

Kwahiyo pamoja na kwamba linatumika kwenye lugha ya kiingereza ni neno la kitaalamu maana kama ingekuwa ni kiingereza tu tungesema tissues putrefaction.

Either way. Mada iliyopo sio hiyo unayotaka kuanzisha.

CCM bwana. 😂😂
Au kwa kitaalamu donda ndugu.
 
Hiyo siyo kitaalamu bali kwa Kiingereza. Nyie ndio huwaga mnasema ujenzi wa barabara au kwa kitaalamu road construction.
Hii thread haiitaji wavuta bangi tafadhari, soma kimyakimya, pita hivi kakatie viuno mbele huko.

Watu wana shida serious wewe unaleta tabia zako za kishoga na kimalaya hapa koma.
 
Hamna cha kuvuta bangi wala nini, ni kuweka mambo sawa tu wewe kamanda uchwara.
 
Alifariki baada ya muda gani toka afanyiwe operation, na cause of death ilikuwa nini? Nimekuuliza hivyo maana nami nina ndugu yangu amefanyiwa hiyo operation mwaka huu na tatizo ni hilo hilo la sukari.
Alikaa sana. Alifanyiwa mwaka 2009..ila mwaka jana akaenda katwa mguu mwengine, alifia hukohuko hospital alivyokatwa kwa mara ya pili, alikaa kama 2 weeks hospitalin akafariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matunda Ni mazuri kwa afya kwani yana vitamins nyingi ambazo hazipatikani kwenye vyakula vingine! Kama huna tatizo la kisukari unaweza kula matunda ya aina zote . Ila kwa mtu mwenye kisukari anapaswa kula matunda yasiyo na sukari nyingi ilikuepuka kupandisha sukari kwa haraka ( spiking of blood sugar)
Kwa nini yapandishe sukari wakati kwa mtu asiye na sukari ni mazuri mkuu ?

Naomba nipate faida kuna mechanism gani inatokea ukila matunda yenye sukari kwa mgongwa wa diabete ?
 
Back
Top Bottom