Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Wagonjwa wa kisukari wanapigiwa sana wake zao, hatari sana aisee.Hahaha wewe umewaza hilo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagonjwa wa kisukari wanapigiwa sana wake zao, hatari sana aisee.Hahaha wewe umewaza hilo tu.
Kwa nini yapandishe sukari wakati kwa mtu asiye na sukari ni mazuri mkuu ?
Naomba nipate faida kuna mechanism gani inatokea ukila matunda yenye sukari kwa mgongwKwa nini yapandishe sukari wakati kwa mtu asiye na sukari ni mazuri mkuu ?
Naomba nipate faida kuna mechanism gani inatokea ukila matunda yenye sukari kwa mgongwa waMtu mwenye kisukari ( Aina ya pili, type two) kongosho lake (pancrease) linaweza kuwa limepoteza uwezo wa kuzalisha hormone aina ya insulin/linazalisha insulin kidogo. Insulin hormone inafanya kazi ya kufungua glucose gates za seli ili kuruhusu sukari (glucose) iweze kuingia na kutumika mwilini. Pia kichocheo hicho hubadilisha sukari iliyozidi kuwa glycogen inayohifadhiwa kwenye ini. Aina hii ya kisukari huweza kutokea pia endapo seli za mwili zinaleta ukinzani dhidi ya insulin (insulin resistance) ambapo insulin inakuwepo kwa wingi Ila seli zinagoma kufungua milango ili sukari iingie. Kitendo cha kuwa na insulin kidogo au insulin resistance hufanya sukari ( glucose) inayotokana na vyakula tunavyokula kuwa nyingi kwa muda mrefu kwenye damu na kumfanya mtu kuwa na ugonjwa w kisukari. Kwa hiyo mgonjwa wa kisukari anatakiwa asile vyakula au viywaji vinavyopandisha sukari haraka.Kwa nini yapandishe sukari wakati kwa mtu asiye na sukari ni mazuri mkuu ?
Naomba nipate faida kuna mechanism gani inatokea ukila matunda yenye sukari kwa mgongwa wa diabete ?
Kwa mtu asiye na kisukari anakuwa na insulin inayofanya kazi kwa ufanisi kwani inazalishwa kawaida na milango ya seli inafunguka kirahisi na kufanya kiwango Cha sukari kisiwe kingi kwenye damu kwa muda mrefu na ndiyo maana hata akila vitu vya sukari, sukari yake hupanda lakini baada ya muda mfupi inakuwa kwenye normal range.
Wale wenye type 1 diabetes kongosho haalizalishi kabisa insulin licha ya cell zao kuwa na uwezo mzuri wa kupokea glucose ndio maana ili waishi wanatumia sindano za insulin.
UMETISHA. kuongeza, hata kidole cha mkono pia hukatwa kwenye ncha ya nerve ndio kunawahi kuharibika. Mwili ni mfumo hivyo sehemu moja ikiumia mwilimzima huko hatarini.Kisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.
Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una pressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.
Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.
Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.
Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.
Natumaini utapata mwanga kidogo.
Alienda kuwangaNa kutokea kwa vidonda ghalfa husababishwa na nini?
Bibi yangu alilala asubuhi akajikuta ana donda kubwa mguuni
Alikuwa na sukari
Kisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.
Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una pressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.
Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.
Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.
Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.
Natumaini utapata mwanga kidogo.
Kwa nini yapandishe sukari wakati kwa mtu asiye na sukari ni mazuri mkuu ?
Naomba nipate faida kuna mechanism gani inatokea ukila matunda yenye sukari kwa mgongwa wa diabete ?
Kwa nini yapandishe sukari wakati kwa mtu asiye na sukari ni mazuri mkuu ?
Naomba nipate faida kuna mechanism gani inatokea ukila matunda yenye sukari kwa mgongwa wa diabete ?
[emoji120]Pole kwa msiba na shukrani kwa kunipa elimu![emoji120]
Wewe sio daktari mkuu?Hapana mkuu. Mimi sio doctor.
Kula vyombo mzee maisha ndio haya hayaNiulize tu sasa kwa wale wanaopata ulabu- ni basi wasipate ulabu kabisa katika maisha yao yote au kuna aina ya ulabu utawafaa? Au kuna aina ya ulabu hauna sukari? Au hata glasi ya red wine basi? Yaani kazi kweli kweli!
Shukrani nyingi Mkuu!
Unfortunately haya magonjwa yalionekana ya matajiri ila kwa sasa ni kila mmoja.Ukiwa na hela,presha,kisukari na magonjwa ya moyo ndo rafiki zako
Ndo maaana sipendi kua tajiri[emoji16]
Bora ukimwi kuliko hii kitu.duh huu ugonjwa hatar sana kumbe
Sawa mkuu.
Hatari sana aseeBora ukimwi kuliko hii kitu.