Kwanini wagonjwa wa Kisukari hukatwa miguu na si mikono au kiungo kingine?

Sasa kwa nn ushindwe kukagua miguu yako ka ina kidonda ili kuwai Hosp kwajil y matibabu ya arak pasipo kungoja mpk maumivu if unajijua una uo ugonjwa eti.
Ukipata nerve damage ni kama mguu unakuwa na ganzi. Na kutokana na kuwa miguu inakuwa na damu ndogo basi mwili hauna uwezo wa kupambana na infections zinazotokea upande wa miguu so ni rahisitu kupata kidonda (jipu).

Mfano mtu anapata jibu katikati ya vidole vya mguuni na maumivu hasikii inakuwa ngumu sana ku detect tatizo mpaka unakuja kujikuta limekuwa kubwa.

Hivyo ndio maana hapo juu nilishauri kama wewe una kisukari uwe na mazoea ya kujikagua mara kwa mara kuona kama una kidonda chochote miguuni..
 
Kuna kitu nimeki-observe kwa wagonjwa wengi wa kisukari.

Wengi wao huishia kukatwa m/miguu na si mikono au kiungo kingine chochote.

Je hii inasababishwa na nini?
Asante sana mkuu kwa swali la ufahamu nimegundua kitu . nilikuwa sielewi kuna baba mmoja alikatwa mguu na bahati mbaya hakukaa muda akapoteza maisha
 
Wakuu sukari ni ugonjwa hatari sana,life style yetu vijana pombe kwa wingi na lishe mbaya zinazotufanya tuvimbe matumbo na kujiona tuko safi ndo hupelekea ugonjwa wa Sukari. Kama hujawi kumuona mgonjwa wa sukari anavyoishi unaweza usielewe.
Ni vyema uzingatie lishe bora epuka overweight,punguza pombe na mazoezi kwa wingi itakuweka katika nafasi nzuri ya kuepuka sukari.
Lifestyle Changes for Type 2 Diabetes
 
Pia kwann wenye huu ugonjwa wa sukari hawawezi kupiga mashine barabara...
Kwasababu huu ugonjwa unasababisha damage ya nevres na blood vessels hivyo kupelekea "erectile dysfunction"

Kama ujuavyo kuwa mwanaume anapopata hisia za kungonoka basi taarifa hutuma kutoka kwenye ubongo ili ku pump damu kuelekea kunako mkuyenge, kutokana na nerve kuwa zimeharibiwa receptors zinakua sio rahisi kupokea taarifa ile kutoka kwenye ubongo au hata zikipokea basi kutokana na mishipa ya damu kuwa imekuwa membamba au damaged (refer PAD) basi hupelekea mtu diabetic kushindwa kabisa kupata erection au kushindwa ku mantain erection kwa muda.
 
Kisukari husababisha kitu kinaitwa Peripheral Artery Disease (PAD). Hii PAD inasababisha mishipa ya damu kupungua size na kuwa membamba na kusababisha kupungua kwa damu inayoenda miguuni, pia inaweza kusababisha nerve damage hivyo kukufanya usisikie maumivu kirahisi.

Kutokana na kutosikia maumivu kirahisi unaweza ukapata kidonda/jeraha dogo tu mguuni na usijue kwakuwa maumivu husikii. Hii itasababisha unavyotembea una pressurize kile kidonda kwakuwa hujui na kidonda kinaendelea kukua.

Ule upungufu wa damu miguuni husababisha kidonda kisipone kwa urahisi na pia husababisha mwili usiwe na uwezo wa kupambana na infections zinazotokea maeneo ya miguuni.

Baada ya hapo tissue damage/death - kitaalamu inaitwa "gangrene" inaweza kutokea na hivyo infection inasambaa mpaka kwenye mfupa.

Ikifikia hatua hiyo kwamba infection imeshindwa kuthibitiwa basi amputation(kukatwa) mguu au vidole au sehemu ya unyayo ndio suluhisho la haraka kuzuia maambukizi yasisambae kwenda sehemu nyingine ya mguu au hata mwili mzima.

Natumaini utapata mwanga kidogo.
 
Mkuu asante kwa darasa huru hasa hl la kisukari
 
Sa wanapokata mguu si wanatengeneza kidonda kingine cha hiyo operation, ndo akili gani sasa nyie madoctor....?
 
Gangrene ni tatizo kubwa sana kwa watu wenye DM na ndio kuwa ina sababisha patient kuoza na kukatwa viungo. Japo ata local Anastasia husababisha.
 
Ukipata nerve damage ni kama mguu unakuwa na ganzi. Na kutokana na kuwa miguu inakuwa na damu ndogo basi mwili hauna uwezo wa kupambana na infections zinazotokea upande wa miguu so ni rahisitu kupata kidonda (jipu).

Mfano mtu anapata jibu katikati ya vidole vya mguuni na maumivu hasikii inakuwa ngumu sana ku detect tatizo mpaka unakuja kujikuta limekuwa kubwa.

Hivyo ndio maana hapo juu nilishauri kama wewe una kisukari uwe na mazoea ya kujikagua mara kwa mara kuona kama una kidonda chochote miguuni..
Ahsante sana muuliza swali na mjibu Maswali. Kuna vitu mmenisaidia.mimi pia ni mgonjwa wa kisukari.vitu kama hivi ndivyo vilinifanya nijiunge humu jf.asanten
 
Kwasababu huu ugonjwa unasababisha damage ya nevres na blood vessels hivyo kupelekea "erectile dysfunction"

Kama ujuavyo kuwa mwanaume anapopata hisia za kungonoka basi taarifa hutuma kutoka kwenye ubongo ili ku pump damu kuelekea kunako mkuyenge, kutokana na nerve kuwa zimeharibiwa receptors zinakua sio rahisi kupokea taarifa ile kutoka kwenye ubongo au hata zikipokea basi kutokana na mishipa ya damu kuwa imekuwa membamba au damaged (refer PAD) basi hupelekea mtu diabetic kushindwa kabisa kupata erection au kushindwa ku mantain erection kwa muda.
Excellent precise!
Swali LANGU:
Mwaka 2009 babu yangu aligundilika na ugonjwa wa kisukari, Mara baada ya vipimo ilioneka imekula sehemu ya ndani ya miguu ( nakumbuka wakati namuogesha nikiwa namshika huo mguu analia kama mtoto mdogo)
Lakin ghafla Mara tu baada ya mguu kukatwa (2weeks after) alikufa.
Je nin kilipelekea?
 
Wakuu sukari ni ugonjwa hatari sana,life style yetu vijana pombe kwa wingi na lishe mbaya zinazotufanya tuvimbe matumbo na kujiona tuko safi ndo hupelekea ugonjwa wa Sukari. Kama hujawi kumuona mgonjwa wa sukari anavyoishi unaweza usielewe.
Ni vyema uzingatie lishe bora epuka overweight,punguza pombe na mazoezi kwa wingi itakuweka katika nafasi nzuri ya kuepuka sukari.

pia punguza unywaji wa soda
 
Kuna kitu nimeki-observe kwa wagonjwa wengi wa kisukari.

Wengi wao huishia kukatwa m/miguu na si mikono au kiungo kingine chochote.

Je hii inasababishwa na nini?
uwe unawauliza ilikuwaje wakakatwa... Mara nyingi huwa wanapata vidonda kutokana na uwepo kisukari kupona huwa ni kazi kidogo, hivyo ikitokea kidonda kikakua na kufikia hatua mbaya ya kwamba hakiwezi kupona huwa ni kukata kama ulivyowaona
 
Excellent precise!
Swali LANGU:
Mwaka 2009 babu yangu aligundilika na ugonjwa wa kisukari, Mara baada ya vipimo ilioneka imekula sehemu ya ndani ya miguu ( nakumbuka wakati namuogesha nikiwa namshika huo mguu analia kama mtoto mdogo)
Lakin ghafla Mara tu baada ya mguu kukatwa (2weeks after) alikufa.
Je nin kilipelekea?
Inawezekana siku zake zilifika mkuu. May be amputation inaweza ikawa ilichangia ila unless uwe ulimfanyia postmortem mimi siwezi kujua chanzo. Kwasasabu inawezekana aliugua malaria within those days ndio ikamuondoa. Hapo kupata jibu sahihi ungemuuliza daktari alietoa report ya kifo.
 
Back
Top Bottom