Kwanini wagonjwa wa Kisukari hukatwa miguu na si mikono au kiungo kingine?

Kama wataalam wameweza kuzijua hizi tabia zote kwanini wasitafute namna ya kuzitatua
 
Kama wataalam wameweza kuzijua hizi tabia zote kwanini wasitafute namna ya kuzitatua
Mkuu nadhani wenzetu huwa hawalali asee wanafanya research sana kuhusu haya magonjwa sugu (chronic diseases) kama diabetes, cancer, cardiovascular diseases n.k.

Lakini kwakuwa ni magonjwa ambayo hayatokani na virus, parasites, bacteria n.k (ni magonjwa yanayosababishwa zaidi na genetics, lifestyle, age, environmental/occupational factors) imekua ni challenge ya muda mrefu kupata suluhisho la moja kwa moja (tiba).

Tiba zilizopo nyingi ni za kureverse tu madhara ambayo yalishajiyokeza ambayo kwa wengi wanaowahi kugundua tatizo wanaweza kurudi kuwa normal kabisa lakini kama stages za magonjwa haya zimeshakuwa terminal (madhara yameshakuwa makubwa) huwa ni kupunguza makali tu maana kuna stages za haya magonjwa ni irreversible.

Ila believe me kuna watu wanaumiza vichwa usiku na mchana wakifanya researches kwaajili ya kupata suluhu za kudumu za magonjwa haya.

Moja wapo ya researches zinazoweza kuleta tumaini katika ku deal na haya magonjwa ni Genetic Engineering.

ephen_
 
Naam
 
Una akili nyingi ila mchoyo.
 
Huu ugonjwa una mateso shindilii
 
Kwamba ukipata kidonda hakiponi ila ukikatwa mguu hospital hilo jeraha linapona! How?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…