Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Ni rahisi watawala kuwatumia masikini na wajinga kuendelea kutawala kuliko kuwatumia wasomi na wenye uwezo kiuchumi.Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali...
We nenda katibiwe, siyo kwa kichaa hicho. Akili yako imejaa uchafu. Huelewi ht maana ya uhafidhinaNi kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?
Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.
Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
Umeuona usiku mkuu?We
We nenda katibiwe, siyo kwa kichaa hicho. Akili yako imejaa uchafu. Huelewi ht maana ya uhafidhina
Hata waigizaji, wanamuziki, directors na wanamichezo wengi wenye majina makubwa ni Waliberali!Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?
Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.
Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
Embu mrekebishe nani tuone uwelewa wake na wako tofauti iko wapiUnaelewa ulichoandika?
Conservatives ni waoga sana wa changamoto wakihofia kufeli, kumbe kufeli inaweza kuwa namna nzuri ya kujifunza.Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?
Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.
Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
Pia wafahidhina wakipata elimu vizuri wanakuwa manguli wa conspiracy theories.Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?
Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.
Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
RepublicanKwani Trump alikua Republican au demokrati?[emoji848]
Kama Ben Carson alivyo.Pia wafahidhina wakipata elimu vizuri wanakuwa manguli wa conspiracy theories.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo ni CCM dunia nzima.