Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Viwanda havitoki mdomoni bali ubongoni.Hakuna nchi ya Afrika ina dalili ya kuwa nchi ya kiviwanda.Hata Misri SA Hamna kitu.Waliokuwa WAARABU wanaotangatanga jangwani kukamua maziwa ya ngamia na kupopoa TENDE wameamua kuikumbatia ELIMU....
UAE kwa MSAADA wa wataalamu toka Korea Kusini Wanajenga NUCLEAR REACTORS kwa AJILI ya kufua umeme kwa MATUMIZI ya amani.
Ni hatua kubwa wamepiga baada ya majuzi kurusha ndege yao kwenda anga za mbali.
Hii inatufundisha kuwa MAJIRANI ZETU wataendelea kuionea wivu Tanzania ya Magufuli kwa sababu ya Jemedari JPM amenuia kivitendo kutubadilisha iliyokuwa MITIZAMO MFU kwa kutuletea fikra chanya ya VIWANDA...
La muhimu,wizara Yetu ya Elimu,pamoja na COSTECH kujipanga haswa kwa kunoa BONGO zao kibunifu ili tutoke hapa tuliko na KUPAA tutakako.
Mungu Mbariki RAIS JPM na watendaji wake Aaaamin aaaaamin.
Kijana muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole
Ukitaka kujua kama nchi inaenda kuwa ya kiviwnda angalia kama mabeberu wanatishika nanyi.China walipo weka mpango wa made in China 2025 Wazungu wameweweseka wanajua wachina huwa hawaongei maneno bali vitendo.Magufuli atamaliza 2025 na TZ haitakuwa ya viwanda.Nchi kuwa ya kiviwanda inataka mkskati mzito sana unaoshirikisha kila nyanja ya kiuchumi.