Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Viwanda havitoki mdomoni bali ubongoni.Hakuna nchi ya Afrika ina dalili ya kuwa nchi ya kiviwanda.Hata Misri SA Hamna kitu.
Ukitaka kujua kama nchi inaenda kuwa ya kiviwnda angalia kama mabeberu wanatishika nanyi.China walipo weka mpango wa made in China 2025 Wazungu wameweweseka wanajua wachina huwa hawaongei maneno bali vitendo.Magufuli atamaliza 2025 na TZ haitakuwa ya viwanda.Nchi kuwa ya kiviwanda inataka mkskati mzito sana unaoshirikisha kila nyanja ya kiuchumi.
 
Sasa wewe mbona huyo Kilaza wenu anawekeza kwenye matofali badala ya elimu?
 
Ujeruamani imewekeza miaka si chini ya 100 usidhani ni kitu cha miaka 5,
Kukuza techn ktk karne hii hakuhitaji miaka 100 kwa mujibu wa UDSM DS lecture notes.Hio lecture imekusnya tafiti nynyingi zilizofanywa na UN.Hivyo basis dunia ya sasa haitaji miaka mingi kukuza teknolojia.China wamejipanga 2015-3025 kuwa made in China industry 0.4.Ktk kipindi hicho wnaiwinda teknolojia ya juu kabisa( industrial complex) hii ikuhusisha AI ,State of the Art( chip making-SMCD),Engines na mitambo ya hali ya juu.Kila daliki zinaonesha watafanikiwa.Sasa miaka100 sio ishu.
 
Tanzania tulishindwa kufanya mageuzi ya elimu baada ya vita na kabla ya kuanzisha shule za kata ni kosa ambalo litatugharimu Kwa muda mrefu sana na sioni watawala kama wana maono ya kulitatua naweza kusema elimu ya miaka ya nyuma ilikuwa na ubora sana kuliko elimu ya sasa maana Kwa miaka ile ya nyuma elimu ya kipindi kile ilikuwa inaakisi maisha halisi ya miaka ile hasa kwenye elimu ya siyansi Ila Kwa sasa elimu haiakisi kabisa maisha ya sasa dunia inakwenda kasi sana kama tumeweza kutoa pesa nyingi kwenye miradi ya sasa naamini tunaweza kutoa pesa nyingi kuifumua muundo wetu wa elimu na ukaleta matunda Bora Kwa vizazi vijavyo
 
Mkuu, nikukosoe kudogo.Tanzania haijawahi kuwa na elimu bora wakati wowote.Kama Tanzania ingekuwa ma elimu bora basi kiuchumi tungekuwa mbali.Nini ushahidi wa elimu bora ndugu?
 
Hizo barabara ya Goba na Malamba mawili ina shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…