Kwanini Wahariri hamkutoa tamko la shambulio alilofanya Mzee Makamba kwa Mwandishi?

Jina la Mayalla ni kweli ni njaa, ila sio njaa ya tumbo kukosa mlo bali ni baa la njaa
, famine lilisababishwa na ukame, drought na sio hunger, yenye kuhitaji mlo!.
P
Ni njaa na unaaa uliopitiliza na hasa kwakuangalia asili ya kazi za wazazi wako. Una njaa tena si tu ya gumbo Bali hata njaa ya madaraka unayo
 
Una njaa tena si tu ya gumbo Bali hata njaa ya madaraka unayo
Kati ya freedom zote duniani, freedom zote zina mipaka isipokuwa freedom to think, haina mipaka!, you can think about anything, no one can do anything about it, ni haki yako naiheshimu.

Ila pia mimi ni muwazi sana, niko very open, sijawahi hata kuwa monitor darasani sasa hii njaa ya madaraka ni njaa gani?!.

Hivi unajua tangu enzi za Mwalimu Nyerere, pale Msasani sisi tunacheza mule!. Huyu Dr.Mwinyi tumesoma nae primary na sekondari pale Tambaza!, mtoto wa Ben tumesoma nae darasa moja, Riz mimesoma nae UDSM, JPM ni home boy wangu hivyo nikiwa pande zile nafikia kwake kula kulala!. Kama ni kweli nina njaa ya hivyo ya madaraka, ningeshindwa kweli ku lobby kupata hata u DC?.

Kuna wengi humu wanaona mtu kuteuliwa kuwa DC ni bonge la deal!, lakini amini nakuambia tunawaona baadhi ya ma DC kama ni ma fa.. fulani tuu!, mtu una ofisi yako kodi tuu ya mwezi ni zaidi ya mshahara wa DC!, uutake u DC ili ukaufanyie nini?!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
Humo nimesema
Naamini utakuwa umeelimika kuhusu mimi, haukatazwi kuendelea kufikiri navizia uteuzi!.
P
 
Itakuwa amechelewa kufika mjini huyo namuombea Radhi kaka Mkubwa...
 
Kutoa tamko la kulaani ni kufunga dirisha la uteuzi.
 
Haya ni matumizi mabaya ya neno KUSHAMBULIWA, hakuna sehemu yeyote mzee Makamba kamshambulia mwandishi, acha urongo ndugu kuwa mkweli maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mzee kampeti tu kishikaji
 
Umeongea vizuri ila ungeondoa neno ma Fala ingenoga zaidi
 
Bahasha imetuna balaa
 
Umetumia nguvu kubwa sana kujenga hoja ya utetezi wa jina lako mkuu,umetujibu wengi hapo, msj seen.

Naweza kuamini kwamba anko kweli alikuwa home boy wako, otherwise where did you get the highest confidence to ask Such a question.

Na alivyokuwa anajibu huku anacheka maana yake mlikuwa mnajuana.
 
Fanya utafiti kidogo kujua waandishi wangapi wamelamba teuzi.

Unataka watoe tamko ili tonge lisiwafikie?

Waandishi wengi bongo wana pricetag migongoni mwao. Wanasemwa, wanasutwa mpaka na Nape wakati anajua kabisaa cencorship wanayoifanya before and after news.

Usipowasifia wakubwa, wewe siyo mwanahabari mahiri. Hii ndio Tanzania
 
Njaa inaletwa na matendo yako mkuu
Njaa ni hali ya uhitaji inayitakiwa kuifanyia kitu kukabiliana nayo. Mfano ili mtu uishi, unahitaji hewa, chakula na maji, ukikosa chochote kati ya hivi, unapoteza maisha!. Mtu ukikosa hewa unakukuruka kutafuta hewa hivyo kule kukuruka ndio matendo, hivyo kinacholeta matendo ni solutions.

Vivyo hivyo kwa njaa ya tumbo, mwili unahitaji shibe, ukikosa chakula unakufa njaa!. Hivyo njaa hailetwi na matendo bali unapokabwa na njaa, ili kujizuia usife njaa ndipo sasa unafaya matendo kutafuta chakula kukabiliana na hiyo njaa. Njaa hailetwi na matendo bali ni hitaji na matendo ndio hufanyika kukabiliana na njaa.

Sasa turejee kwangu, jee nimefanya matendo yangu gani kuleta njaa?.
P
 
Hivi Pascal wa 2016(mtetezi wa wanyonge) na Pascal wa 2022(njaa kali na mtu wa bahasha) wakikutana si watapigana mpaka wauane?
 
WAANDISHI HAWA HAWA WANAOTAKA TEUZI NA KUGOMBEA UONGOZI NA UJUMBE NDANI YA CCM?
 
Kwani kusoma nao ndio nini mbona unahangaika kama wengine?
 
Hivi Pascal wa 2016(mtetezi wa wanyonge) na Pascal wa 2022(njaa kali na mtu wa bahasha) wakikutana si watapigana mpaka wauane?
There is the only one and the one and only P, ni yule yule juzi, jana na leo, habadiliki na hata badilika, kinachobadilika ni kitu kinachoitwa adaptations, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place and environments, they are in constant struggle for existence and survival is only for the fittest. Ili uweze kuwa fit na survive, ni lazima uwe very adaptive na any environmental changes, hivyo Pasco ni yule yule ila very adaptive.
P
 
Ila siasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…