Niwie radhi mkuu, naondoa maneno yanguMkuu sem2708 , mbona mimi sijaandika hilo neno?, umelitoa wapi?
Au kila fa.. maana yake ndio hiyo tuu?.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwie radhi mkuu, naondoa maneno yanguMkuu sem2708 , mbona mimi sijaandika hilo neno?, umelitoa wapi?
Au kila fa.. maana yake ndio hiyo tuu?.
P
Kuna watu wa type 3, wanaobebeka, wasio bebeka na wanaojibeba.Pamoja na kujulikana na watu wote hao uliowataja, bado wanashindwa kukubeba kwa sababu inawezekana wanakujua vizuri tabia zako kwamba hubebeki.
Japo jina la Mayalla, kweli ni njaa, ila sio njaa ya tumbo kukosa mlo ambayo sawa yake ni shibe, hii ni njaa ya baa la njaa, famine lililosababishwa na ukame, drought na sio hunger, yenye kuhitaji mlo!.
P
Kiswahili kina upungufu wa misamiati ya manenoFamine ndio hupelekea njaa ya tumbo.
Bahasha nyingine ni dharau, mnajidhalilisha hadi mnadharauliwa
Wote makanjanja tuTanzania hakuna waandishi wa habari.View attachment 2450967
Ndiyo,ungelikata siku ileJapo jina la Mayalla, kweli ni njaa, ila sio njaa ya tumbo kukosa mlo ambayo sawa yake ni shibe, hii ni njaa ya baa la njaa, famine lililosababishwa na ukame, drought na sio hunger, yenye kuhitaji mlo!.
P
We mzee yna mikwala sanaKati ya freedom zote duniani, freedom zote zina mipaka isipokuwa freedom to think, haina mipaka!, you can think about anything, no one can do anything about it, ni haki yako naiheshimu.
Ila pia mimi ni muwazi sana, niko very open, sijawahi hata kuwa monitor darasani sasa hii njaa ya madaraka ni njaa gani?!.
Hivi unajua tangu enzi za Mwalimu Nyerere, pale Msasani sisi tunacheza mule!. Huyu Dr.Mwinyi tumesoma nae primary na sekondari pale Tambaza!, mtoto wa Ben tumesoma nae darasa moja, Riz mimesoma nae UDSM, JPM ni home boy wangu hivyo nikiwa pande zile nafikia kwake kula kulala!. Kama ni kweli nina njaa ya hivyo ya madaraka, ningeshindwa kweli ku lobby kupata hata u DC?.
Kuna wengi humu wanaona mtu kuteuliwa kuwa DC ni bonge la deal!, lakini amini nakuambia tunawaona baadhi ya ma DC kama ni ma fa.. fulani tuu!, mtu una ofisi yako kodi tuu ya mwezi ni zaidi ya mshahara wa DC!, uutake u DC ili ukaufanyie nini?!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
Humo nimesema
Naamini utakuwa umeelimika kuhusu mimi, haukatazwi kuendelea kufikiri navizia uteuzi!.
P
aende akalikataeee kwenye kaburi la meko sio hapo ilala alipo.Uamuzi wa Pascal kulikataa jina .... UHESHIMIWE.
hapana drought sio njaa ni ukame bwana njaaKiswahili kina upungufu wa misamiati ya maneno
Drought ni njaa
Famine ni njaa
Hunger ni njaa
Empty stomach ni njaa!.
Mayalla ni famine due to drought, watu wametafsiri ni empty stomach inayohitaji shibe ya kujaza tumbo!.
P
Mkuu saidoo25 , kwanza asante kwa kunifungua macho kuhusu hili, kuna kitu nikikisema humu unaweza usiamini!. Japo mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, amini usiamini sikubahatika kupata muda kuangalia mikutano Mkuu wa CCM, nimefanya kusikikia tuu Mzee Makamba alizungumza', sikuwahi kusikiliza alichozungumza!, lakini leo baada ya bandiko hili, ndio kwa mara ya kwanza nitamsikiliza Mzee Makamba na kama ni kweli kuna udhalilishaji wa mwandishi husika', nitatia Neno!.
Asante kwa angalizo
P
Update
Clip ni hii ngoja niiangalie
P