Kwanini Wahariri hamkutoa tamko la shambulio alilofanya Mzee Makamba kwa Mwandishi?

Nyie n wale wale bhana,mambo mengi mnayaona na mnao uwezo wa kusema japo neno lkn mnakaa kimya.
 
Mi nahisi ma-rope ndio kazalilishwa kwa kuulizwa maswali ya maana na yeye kujibu kama mtu alibanwa na uharo anahitaji kwenda kuushusha haraka iwezekanavyo
 
Nimecheka bila viwango [emoji1787][emoji1787] kwa hiyo unataka kutuambia Albert Msando, wakili aliyeacha ofisi yake ya uwakili na kupewa uDC kule Morogoro ni walewale mnaowaona kama mafa..?
Anyway turudi kwenye mada, unazungumziaje tukio la Mtukanaji mkuu mwandamizi wa CCM bw. Yusuf Makamba la kumdhalilisha na kumghasi mwandishi akiwa kazini?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mayalla Pascal siku hizi ni MJUMBE
 
Nchi hii imejaa uoga, walikumbushia kuzimwa kwa internet 2020, ya Makamba senior wakayapotezea, unafiki sana mkubwa
 
Toa maoni yako mkuu P
 
Ndio maana naipenda JF😂😂😂👍
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hatari sn mkuu
 
So yule kubwa la maadui alimaanisha nn???
Japo jina la Mayalla, kweli ni njaa, ila sio njaa ya tumbo kukosa mlo ambayo sawa yake ni shibe, hii ni njaa ya baa la njaa, famine lililosababishwa na ukame, drought na sio hunger, yenye kuhitaji mlo!.
P
 
Tunasubiri poti.
 
Haya ni matumizi mabaya ya neno KUSHAMBULIWA, hakuna sehemu yeyote mzee Makamba kamshambulia mwandishi, acha urongo ndugu kuwa mkweli maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mzee kampeti tu kishikaji
Mzee alikuwa akipiga zile kofi kifuani kwa yule mwandishi mpaka zinatoa sauti kubwa paa paa paa !! Alikuwa amekasirika !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…