Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

Kwani kuwa na akili nyingi, maana yake nini??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu wa kanda ya ziwa ni Masalia ya Wayahudi wa kale waliojenga Ma-pyramids, hivo walitoroka mateso ya Ma-pharaoh! wa Misri, wakakimbia kufuatilizia chanzo cha mto Nile.

Kati hapo wengine wakachepuka kuelekea Ethiopia!, Lugha za kanda ya ziwa nyingi zina endana na Lugha ya Ahmaric za Ethiopia!
Labda kama unazungumzia Nilotes ambao kwa kanda ya ziwa nadhani hawafiki hata 5% the rest waliobaki ni wabantu ambao lugha zao haziifanani na huko Ethiopia wala egypt
 
Sababu kubwa inayopelekea ungezeko la akili kwa watu wa kanda ya ziwa ni kutokana na ulaji mwingi wa SAMAKI.

Tuanzie hapa..

KWANINI SAMAKI?
Uchunguzi wa kisayansi uliofanyika unatujuza kuwa, Samaki wana asili ya mafuta (unsaturated fats) kwenye miili yao inayoundwa na kemikali ziitwazo Omega-3.

Kwa kawaida,mwili wa binadamu hauna uwezo wa kutungeneza hizi lakini ni muhimu. Kwahiyo tunahitaji kuzipata kutokea kwenye ulaji wa Samaki.

Sasa unapokula samaki kwa wingi, ni dhahiri kwamba unaongeza kiasi kikubwa cha Omega-3 kwenye mwili.

Tuje sasa kwenye Ubongo wa binadamu.

Ubongo wa binadamu umeundwa na nyaya/mishipa ya fahamu mingi iitawayo Neurone/ Nerve cell. Hizi ndio hutumika katika kusafirisha taarifa zote ndani ya mwili wa binadamu zilizoamuliwa na ubongo.

Katika muundo wa Neurone, kuna mafuta yanayoizunguka na kuilinda hizo mishipa ya fahamu (Myelin Sheeth) lengo ni kusaidia kulinda zisiharibiwe, kuepusha taarifa zisivuje kutoka nje (kupotea kwa taarifa zilizotafsiriwa na ubongo) na hivyo kuongeza speed ya taarifa zilizobebwa na ubongo kwenda sehemu husika.

Kwahiyo tunapoongeza Omega-3 kwenye mwili, inaenda kusaidia kuimarisha ukuaji wa kuta za Myelin Sheeth na hivyo kuongeza ufanisi zaidi wa kazi zao.

Pia, Omega-3 inachochea ongezeko la mtiririko wa damu kwenda kwenye ubongo jambo linalosaidia ubongo kupata Glucose (sukari) ambayo ni muhimu kama chakula chake na hivyo ubongo huweza kupata afya zaidi.

Kwa hali ya kawaida mtu anapokula vizuri akashiba na akaridhika, tunategemea mtu anawiri, Right?
Sasa ni hivyo hivyo kwa ubongo, inapelekea kuongezeka kwa mwingiliano mzuri wa mishipa ya fahamu (Nerve Cell Networking) ambapo huongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa kufikiri na kuvuta picha (Imagination).

Kwa takwimu zilizofanywa na wazungu nchini Tanzania katika miaka 10 iliyopita zinaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wamama wajawazito wanaoishi kwenye ukanda wa Ziwa Victoria ndio wanaongoza kwa ulaji mwingi wa Samaki wa maji baridi hivyo kupelekea watoto wao kufaidika zaidi na virutubisho hivyo na ndio hupelekea kuzaliwa wa watoto wenye upeo mkubwa wa akili.

BADO HUJACHELEWA, ANZA KULA SAMAKI LEO!
Mikoa hiyo ndio iliyopo nyuma zaidi kimaendeleo ikiongozwa na Kagera, Geita na Simiyu. Akili za ushirikina? Jiwe au bashite?
 
Watu wa kanda ya ziwa ni Masalia ya Wayahudi wa kale waliojenga Ma-pyramids, hivo walitoroka mateso ya Ma-pharaoh! wa Misri, wakakimbia kufuatilizia chanzo cha mto Nile.

Kati hapo wengine wakachepuka kuelekea Ethiopia!, Lugha za kanda ya ziwa nyingi zina endana na Lugha ya Ahmaric za Ethiopia!
Wewe ndio akili kabisa hakuna, hivi unawajua waliojenga pyramids za Egypt?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cc ruge mutahaba(r.i.p)
Maxence mello
Ali mufuruki(r.i.p)
Regemarila mjelajela

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sababu kubwa inayopelekea ungezeko la akili kwa watu wa kanda ya ziwa ni kutokana na ulaji mwingi wa SAMAKI.

Tuanzie hapa..

KWANINI SAMAKI?
Uchunguzi wa kisayansi uliofanyika unatujuza kuwa, Samaki wana asili ya mafuta (unsaturated fats) kwenye miili yao inayoundwa na kemikali ziitwazo Omega-3.

Kwa kawaida,mwili wa binadamu hauna uwezo wa kutungeneza hizi lakini ni muhimu. Kwahiyo tunahitaji kuzipata kutokea kwenye ulaji wa Samaki.

Sasa unapokula samaki kwa wingi, ni dhahiri kwamba unaongeza kiasi kikubwa cha Omega-3 kwenye mwili.

Tuje sasa kwenye Ubongo wa binadamu.

Ubongo wa binadamu umeundwa na nyaya/mishipa ya fahamu mingi iitawayo Neurone/ Nerve cell. Hizi ndio hutumika katika kusafirisha taarifa zote ndani ya mwili wa binadamu zilizoamuliwa na ubongo.

Katika muundo wa Neurone, kuna mafuta yanayoizunguka na kuilinda hizo mishipa ya fahamu (Myelin Sheeth) lengo ni kusaidia kulinda zisiharibiwe, kuepusha taarifa zisivuje kutoka nje (kupotea kwa taarifa zilizotafsiriwa na ubongo) na hivyo kuongeza speed ya taarifa zilizobebwa na ubongo kwenda sehemu husika.

Kwahiyo tunapoongeza Omega-3 kwenye mwili, inaenda kusaidia kuimarisha ukuaji wa kuta za Myelin Sheeth na hivyo kuongeza ufanisi zaidi wa kazi zao.

Pia, Omega-3 inachochea ongezeko la mtiririko wa damu kwenda kwenye ubongo jambo linalosaidia ubongo kupata Glucose (sukari) ambayo ni muhimu kama chakula chake na hivyo ubongo huweza kupata afya zaidi.

Kwa hali ya kawaida mtu anapokula vizuri akashiba na akaridhika, tunategemea mtu anawiri, Right?
Sasa ni hivyo hivyo kwa ubongo, inapelekea kuongezeka kwa mwingiliano mzuri wa mishipa ya fahamu (Nerve Cell Networking) ambapo huongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa kufikiri na kuvuta picha (Imagination).

Kwa takwimu zilizofanywa na wazungu nchini Tanzania katika miaka 10 iliyopita zinaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wamama wajawazito wanaoishi kwenye ukanda wa Ziwa Victoria ndio wanaongoza kwa ulaji mwingi wa Samaki wa maji baridi hivyo kupelekea watoto wao kufaidika zaidi na virutubisho hivyo na ndio hupelekea kuzaliwa wa watoto wenye upeo mkubwa wa akili.

BADO HUJACHELEWA, ANZA KULA SAMAKI LEO!
Kwanza kabisa, akili ni nini?
 
Hao wahaya wenye akili wapo wapi? au kina KATUNZI MUZAMR.Wewe sema wengi walisoma shule za mission wakati huo zilikuwa nyingi upande huo na wakatoa tu matongo tongo .AKILI WOTE WANAZO NI MAZINGIRA TU.KWAHIYO UTASEMA WOTE WANAOSOMA SEMINARI WANA AKILI KWANI WANAFAULU SANA AU WAKRISTO WANA AKILI KULIKO WAISLAMU NDIO MAANA SHULE ZAO ZINAFAULISHA SANA NA WAISLAMU HAWANA AKILI NA HASA WA ZANZIBAR KWANI WANAFUNZI WAO WANAFELI SANA ?? Hiyo inaitwa FALLACY OF GENERALIZATION! Kuna wahaya vilaza nimekutana nao duh duh
 
Nimekaanao sana hao wenye akili nyingi duniani kweli wanaakili nyinyi na ipo siri kubwasana kwao hasa lishe baasi,hawa jamaa mahindi wanalisha mifugo wao chakula ni ngano pure na kama nyama basi ni kondoo tu au kuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wazanzibari hawana akili nyingi.?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nami nauliza.
1. Kwanini wahaya walio wengi wananuka midomo?
2. Kwanini wanawake wa kihaya wanatoaga maji torfauti na makabila mengine? Ni uhayani tu unakokuta magodoro ya gesti yanatolewa nje kuanikwa.
 
Back
Top Bottom