Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

Sababu kubwa inayopelekea ungezeko la akili kwa watu wa kanda ya ziwa ni kutokana na ulaji mwingi wa SAMAKI.

Tuanzie hapa..

KWANINI SAMAKI?
Uchunguzi wa kisayansi uliofanyika unatujuza kuwa, Samaki wana asili ya mafuta (unsaturated fats) kwenye miili yao inayoundwa na kemikali ziitwazo Omega-3.

Kwa kawaida,mwili wa binadamu hauna uwezo wa kutungeneza hizi lakini ni muhimu. Kwahiyo tunahitaji kuzipata kutokea kwenye ulaji wa Samaki.

Sasa unapokula samaki kwa wingi, ni dhahiri kwamba unaongeza kiasi kikubwa cha Omega-3 kwenye mwili.

Tuje sasa kwenye Ubongo wa binadamu.

Ubongo wa binadamu umeundwa na nyaya/mishipa ya fahamu mingi iitawayo Neurone/ Nerve cell. Hizi ndio hutumika katika kusafirisha taarifa zote ndani ya mwili wa binadamu zilizoamuliwa na ubongo.

Katika muundo wa Neurone, kuna mafuta yanayoizunguka na kuilinda hizo mishipa ya fahamu (Myelin Sheeth) lengo ni kusaidia kulinda zisiharibiwe, kuepusha taarifa zisivuje kutoka nje (kupotea kwa taarifa zilizotafsiriwa na ubongo) na hivyo kuongeza speed ya taarifa zilizobebwa na ubongo kwenda sehemu husika.

Kwahiyo tunapoongeza Omega-3 kwenye mwili, inaenda kusaidia kuimarisha ukuaji wa kuta za Myelin Sheeth na hivyo kuongeza ufanisi zaidi wa kazi zao.

Pia, Omega-3 inachochea ongezeko la mtiririko wa damu kwenda kwenye ubongo jambo linalosaidia ubongo kupata Glucose (sukari) ambayo ni muhimu kama chakula chake na hivyo ubongo huweza kupata afya zaidi.

Kwa hali ya kawaida mtu anapokula vizuri akashiba na akaridhika, tunategemea mtu anawiri, Right?
Sasa ni hivyo hivyo kwa ubongo, inapelekea kuongezeka kwa mwingiliano mzuri wa mishipa ya fahamu (Nerve Cell Networking) ambapo huongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa kufikiri na kuvuta picha (Imagination).

Kwa takwimu zilizofanywa na wazungu nchini Tanzania katika miaka 10 iliyopita zinaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wamama wajawazito wanaoishi kwenye ukanda wa Ziwa Victoria ndio wanaongoza kwa ulaji mwingi wa Samaki wa maji baridi hivyo kupelekea watoto wao kufaidika zaidi na virutubisho hivyo na ndio hupelekea kuzaliwa wa watoto wenye upeo mkubwa wa akili.

BADO HUJACHELEWA, ANZA KULA SAMAKI LEO!

Listi ya watu wa kanda ya Ziwa wenye Akili nyingi sababu ya kula samaki ni kama ifuatavyo;
1. Kangi Lugola
2. Daudi Bashite
3. Palmagamba Kabudi

Ongezeeni wakuu hiyo list

PS. Najiuliza kwa sauti...kama kula samaki ndiyo kuwa na akili nyingi mbona wenyewe hawana akili wanavuliwa kiboya sana?
 
Wa- Nilotics ni wa Misri ya kale, waliokuwa watawala, tena waliotumikisha Wayahudi, Ambao kizazi chao ni kwa kiwango kidogo sana kimesalia,

Wayahudi wako ''beyond the River of kush my dispersed one'' rejea Zephania 3;10 Biblia, hiki ni kitabu cha kale zaidi, ambacho hakikupoteza kumbukumbu! wala hata chenyewe kupotezwa, japo warumi walitaka kukipoteza!

Wa-Rome waliwaondoa Middle East wayahudi, kwa vita mbaya sana, wakawa hawana pa kwenda zaidi ya Misri, na pale pia wakafukuzwa wakazidi kuelekea kusini, kwa ndugu zao kufuatia mto Nile.

wachache wakawa watumwa Kush! ............kumbuka hii kush ni Ethiopia ya leo!

Kwa uelewa wangu nilotes ambao tuko nao East Africa ambao inasemekana walitokea huko Misri na Sudan tukumbuke kabla ya wakoloni kuja Misri na Sudan ilikuwa nchi moja, nilotes ni wamasai, kalenjins, wajaluo, turkana, pokots etc kuna wengine hata ukiangalia phyiscal features zao hazifanani kabisa na wabantu na lugha zao pia hazifanani sema siku hizi tumeingiliana sana kwa hiyo wanapotezw ile asili na lugha zao na hata genes zao zishachanganywa vya kutosha
 
Sababu kubwa inayopelekea ungezeko la akili kwa watu wa kanda ya ziwa ni kutokana na ulaji mwingi wa SAMAKI.

Tuanzie hapa..

KWANINI SAMAKI?
Uchunguzi wa kisayansi uliofanyika unatujuza kuwa, Samaki wana asili ya mafuta (unsaturated fats) kwenye miili yao inayoundwa na kemikali ziitwazo Omega-3.

Kwa kawaida,mwili wa binadamu hauna uwezo wa kutungeneza hizi lakini ni muhimu. Kwahiyo tunahitaji kuzipata kutokea kwenye ulaji wa Samaki.

Sasa unapokula samaki kwa wingi, ni dhahiri kwamba unaongeza kiasi kikubwa cha Omega-3 kwenye mwili.

Tuje sasa kwenye Ubongo wa binadamu.

Ubongo wa binadamu umeundwa na nyaya/mishipa ya fahamu mingi iitawayo Neurone/ Nerve cell. Hizi ndio hutumika katika kusafirisha taarifa zote ndani ya mwili wa binadamu zilizoamuliwa na ubongo.

Katika muundo wa Neurone, kuna mafuta yanayoizunguka na kuilinda hizo mishipa ya fahamu (Myelin Sheeth) lengo ni kusaidia kulinda zisiharibiwe, kuepusha taarifa zisivuje kutoka nje (kupotea kwa taarifa zilizotafsiriwa na ubongo) na hivyo kuongeza speed ya taarifa zilizobebwa na ubongo kwenda sehemu husika.

Kwahiyo tunapoongeza Omega-3 kwenye mwili, inaenda kusaidia kuimarisha ukuaji wa kuta za Myelin Sheeth na hivyo kuongeza ufanisi zaidi wa kazi zao.

Pia, Omega-3 inachochea ongezeko la mtiririko wa damu kwenda kwenye ubongo jambo linalosaidia ubongo kupata Glucose (sukari) ambayo ni muhimu kama chakula chake na hivyo ubongo huweza kupata afya zaidi.

Kwa hali ya kawaida mtu anapokula vizuri akashiba na akaridhika, tunategemea mtu anawiri, Right?
Sasa ni hivyo hivyo kwa ubongo, inapelekea kuongezeka kwa mwingiliano mzuri wa mishipa ya fahamu (Nerve Cell Networking) ambapo huongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa kufikiri na kuvuta picha (Imagination).

Kwa takwimu zilizofanywa na wazungu nchini Tanzania katika miaka 10 iliyopita zinaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wamama wajawazito wanaoishi kwenye ukanda wa Ziwa Victoria ndio wanaongoza kwa ulaji mwingi wa Samaki wa maji baridi hivyo kupelekea watoto wao kufaidika zaidi na virutubisho hivyo na ndio hupelekea kuzaliwa wa watoto wenye upeo mkubwa wa akili.

BADO HUJACHELEWA, ANZA KULA SAMAKI LEO!
Lakini siyo wasukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nauliza.
1. Kwanini wahaya walio wengi wananuka midomo?
2. Kwanini wanawake wa kihaya wanatoaga maji torfauti na makabila mengine? Ni uhayani tu unakokuta magodoro ya gesti yanatolewa nje kuanikwa.
Jaribu kumwuliza mama yako mzazi anaweza kuwa na jibu sahii kuliko sis wachangia mada mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wangu nilotes ambao tuko nao East Africa ambao inasemekana walitokea huko Misri na Sudan tukumbuke kabla ya wakoloni kuja Misri na Sudan ilikuwa nchi moja, nilotes ni wamasai, kalenjins, wajaluo, turkana, pokots etc kuna wengine hata ukiangalia phyiscal features zao hazifanani kabisa na wabantu na lugha zao pia hazifanani sema siku hizi tumeingiliana sana kwa hiyo wanapotezw ile asili na lugha zao na hata genes zao zishachanganywa vya kutosha
Asante mkuu umenikumbusha kitu muhimu sana, ebu nisaidie sisi wabantu sasa tulitokea wapi?
mbali na hayo yangu kwa sababu Historia ya Africa imepindishwa sana
 
Wanawake wote wana maji ila wanaume wa Kagera ndo wana teknolojia ya kuyachimba yakafumuka.
Mkuu usikate simu shikilia hapo hapo. Hebu nipe kwa ufupi tu. Je ni lazima ulimi utumike au vidole au ni nini
 
Mkuu usikate simu shikilia hapo hapo. Hebu nipe kwa ufupi tu. Je ni lazima ulimi utumike au vidole au ni nini
Hapana, ukiona mhaya anatumia ulimi ujue kazaliwa nje ya Kagera na wala huwezi kulowanisha shuka. Technology inahitaji namna nzuri ya kushika kichwa cha rungu na kucheza na antena ya K..alolina. ukipata muda nenda Bk utapewa training na warembo.
 
Hao wahaya wenye akili wapo wapi? au kina KATUNZI MUZAMR.Wewe sema wengi walisoma shule za mission wakati huo zilikuwa nyingi upande huo na wakatoa tu matongo tongo .AKILI WOTE WANAZO NI MAZINGIRA TU.KWAHIYO UTASEMA WOTE WANAOSOMA SEMINARI WANA AKILI KWANI WANAFAULU SANA AU WAKRISTO WANA AKILI KULIKO WAISLAMU NDIO MAANA SHULE ZAO ZINAFAULISHA SANA NA WAISLAMU HAWANA AKILI NA HASA WA ZANZIBAR KWANI WANAFUNZI WAO WANAFELI SANA ?? Hiyo inaitwa FALLACY OF GENERALIZATION! Kuna wahaya vilaza nimekutana nao duh duh
Hiv unajua vigezo vya mtu kwenda seminary? Kumbuka kuna mchujo mkubwa kabla ya kwenda seminary.

Ukubali Tu asilimia kubwa ya wahaya Wana akili.

Tazama maTO kila mwaka,mabest students hasa UDSM nk na idadi ya wahaya vyuoni ndo uje uongee hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Permanides,
Yaani bila kumungunya Maneno, ni watu wa kanda ya ziwa wakisaidiana na Annunaki na hii ni kwa sababu yako katikati ya Dunia, hivo Anunnunaki walitumia km leading Di scent point yao kutoka anga za juu,

Nyenzo kubwa mojawapo zilizotumika kujenga Pyramids ni pamoja na anti- gravitational- force power! ni hawa hawa walijua kuwasiliana na Annunaki, Israel ya leo wanatembelea kanda ya ziwa kila uchao! jana alikuwa Uganda!

Na mountain Moriah! yaani sacred point ndiyo lilikuwa lengo lao kubwa, sababu ya kutumia Alfa Draconis Radio link ya kutawala Dunia, Mpaka leo! ziko hapo, wanatumia na panalindwa ni si kitoto.

Wazungu waliwapora mababu zetu haki hiyo pale kwa sababu walijua umuhimu wake! na mpaka leo mswahili hutii pua pale! kumbukumbu zote ziliibiwa ziko Vatican! tunajua! km wewe ni wa kanda ya ziwa nenda Vatican! ukajionee!
Lakin ukifuatulia historia ya wahaya na hata ukiwauliza mabibi inasemekana walitoka misri .

Na walifika kagera Kwa kufuata mto Nile kupitia bunyoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Listi ya watu wa kanda ya Ziwa wenye Akili nyingi sababu ya kula samaki ni kama ifuatavyo;
1. Kangi Lugola
2. Daudi Bashite
3. Palmagamba Kabudi

Ongezeeni wakuu hiyo list

PS. Najiuliza kwa sauti...kama kula samaki ndiyo kuwa na akili nyingi mbona wenyewe hawana akili wanavuliwa kiboya sana?
Hapo unaongelea wasukuma sio wahaya.

Tukitaja wahaya waliofanya makubwa utakimbia tukianza na maxence melo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom