Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

If you are emotionally attached to your tribe, religion or political leaning to the point that truth and justice become secondary considerations, your education and exposure is useless. If you cannot reason beyond petty sentiments, you are a liability.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waliosoma history (peopling of Tz) sidhani yupo hata mmoja anaekubaliana na wewe. Haya, Sukuma na makabila mengi yapatikanayo interlacustrine region ni Bantu speaking. Ethiopia n Egypt hakuna ushahidi wa uwepo wa Bantu people. AKSANTE KWA CHAI CHIEF
Watu wa kanda ya ziwa ni Masalia ya Wayahudi wa kale waliojenga Ma-pyramids, hivo walitoroka mateso ya Ma-pharaoh! wa Misri, wakakimbia kufuatilizia chanzo cha mto Nile.

Kati hapo wengine wakachepuka kuelekea Ethiopia!, Lugha za kanda ya ziwa nyingi zina endana na Lugha ya Ahmaric za Ethiopia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can smell a high level of inferiority complex within this thread....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waliosoma history (peopling of Tz) sidhani yupo hata mmoja anaekubaliana na wewe. Haya, Sukuma na makabila mengi yapatikanayo interlacustrine region ni Bantu speaking. Ethiopia n Egypt hakuna ushahidi wa uwepo wa Bantu people. AKSANTE KWA CHAI CHIEF

Sent using Jamii Forums mobile app
Akhsante mkuu!
Elewa kuwa Historia ya Africa imechafuliwa na kugeuzwa geuzwa sana kuliko unavofikiri! ni vema akili ya kusoma changanya na yako then linganisha na source mbali mbali.

Nikuulize makabila km Summerians, Wa-foenike, Aramaic Coptic ambayo yalikuwa kwenye peak kipindi cha Iron era - CE! yalikwenda wapi, Wako wapi leo? na kwa nini? hata hao unao sema ni wanahistoria hawajui. je ni kweli hawajui?

Basi hata fununu tu ya Lugha zilizo tumika unazijua? zimeandikwa? kipindi hiki Kigiriki ilikuwa Lugha rasmi, Duniani pamoja na nilizozitaja, mbona hizo zingine muhimu, zilikufa? kikabaki kigiriki tu mpaka leo?! unajua kwa nini?

Usiamini amini tu kwa sababu mtu kasoma Historia unaweza wewe ukawa unajua zaidi kuliko yeye!, hao Wazungu walio kuandikia Historia wali base upande wao! hata hakuna sehemu moja wapo inayo wataja wazungu ktk Agano la kale, wazungu wako Agano jipya tu!

Darasani Mwalimu wako alikufundisha eti umetokana na Nyani, na Wabantu wote tulitoka kinchi kile cha Cameroon. but, hatumlaumu mwalimu wako sababu hakujua, ila tunakulaumu wewe,

kwa nini hukuchimba zaidi! bado unakumbatia mafunzo hafifu ktk ulimwengu huu wa Electronic Revolution ? hivi unajua kwa nini kiarabu kinafanana na kiswahili tena chenye asili ya full kibantu!

km tumecopy waarabu, Wasotho ni full- wabantu. lkn Waarabu hawakugusa huko!
 
Kila kabila wakiulizwa asili yao ni wapi wanasema Ethiopia/Israel sasa sijui Tanganyika ya miaka ya enzi hizo ilikuaga haina watu ni full masokwe tu.

dodge
Khoisan walienea kote humu mpaka South Africa, ndiyo wenyeji!
 
Ethiopia n Egypt hakuna ushahidi wa uwepo wa Bantu people. AKSANTE KWA CHAI CHIEF
Oromo walitokea Ethiopia!, kiswahili ni Afro-Asiatic language, kwa nini? Naomba jibu....
Haiwezekani kutaja Afro-asiatic entities, ukaziweka kando Ethiopia Egypt na Somalia, Eritrea, Djbout nk.

Hakika zaidi ya nusu ya Ethiopians they are originated from sub- Sahara African, Haprogroup E1b1(E1b1a) ziko kanda ya ziwa nyingi, usibishe bila uthibitisho, Simply do your Homework! kijana!

Hata ukiangalia ushahidi wa mazingira na jeografia rahisi sana ya eneo hili . maingiliano ya mito ya bue Nile na white Nile na Ziwa Victoria. ilikuwa ni rahisi kufuata maji kwa ajili ya shughuli za uvuvi, hata kusaidia wakimbizi wa vita!

Kwa mitindo hii ya wavuvi ilisaidia wao kugundua nchi mpya kirahisi sana! ambazo zilikuwa na watu wachache au hakuna kabisa! hivo walijichanganya na wenyeji!

Wazzigua wa hapo Mbwewe, ukivuka mto Wame tu lugha yao vinarandana na kisomali, na wanaelewana, ...kabila la Wa-ruri kanda ya ziwa kinaendana na Amharas, Tigrinya ya Ethiopia, na kihadjuin cha Sudan Mashariki!

Mila na Desturi zao ni sawa, ufugaji wa mifugo na masharti ya Ukamuaji wa ngo'mbe ni vilevile km mtoto wa baba mmoja...

kuna wilaya ya Bururi nchini Rwanda , accent ni moja na Waruri.walijimega hawa. kunawengine walimezwa na wengi wa huko! chromosomal DNA za Wajita, Achori, nyankole, kipsigis nk zinarandana na wa-cush!

Majina mengi ya kiruri kama maregesi, Nyanjiga,Nyanjara,(kama unakijua ile chakula maarufu cha wa ethiopia Injala vinaendana), Nyamuriro,Wanyonyi,nk yako Kenya kaskazini mpaka central Ethiopia.
 
Hizi Mara nyingine za hovyohovyo sana,
Kama issue ni samaki kwanini pia isiwe watu wa ukanda wa pawani kama Tanga,Pwani na Mtwara.
Kwanini isiwe watu wa lake Tanganyika na lake Nyasa?

Hivi ninyi wahaya mpoje mbona mnapenda sana misifa?

Hivi mnaposema watu wanaoishi uwanda wa ziwa Victoria wana akili mnatumia tafiti zipi au ndio hizi mada za kina inshomire?

Watu wa wa uwanda wa lake Victoria wengi ni masikini wakutupwa.
Hivi ni nani asiyejua tabia za wahaya hapa Dar,au akili zao zimeelekea chini?

Tizama watu la lake Tanganyika wengi wao hali zao,kigoma ndio mkoa duni kabisa licha ya kula mgebuka na dagaa.

Hivi hizi akili kubwa zinashindwaje Kutumika kusaka pesa?
 
Hizi Mada nyingine za hovyohovyo sana,

Kagera nayo ndio hali mbaya kabisa,mmekalia misifa hapa mjini nyumbani kwenu kagera hali ni duni kabisa?

Hivi hizi akili kubwa zinashindwaje Kutumika kusaka pesa?
 
[emoji122][emoji122][emoji122]. Umetoa hoja na vielelezo kibao kuthibitisha hoja yako, yawezekana katika isimu na historia uko vzr kupitia research ulizosoma ama kufanya. Lakn hujanishawishi kuwaingiza wasukuma na wahaya ambao ni pure bantu kuwa asili yao ni ethiopia. Uwepo wa waluri na jaluo kama nilotes kanda ya ziwa hakuthibitishi kuwa jamii nzima wanatoka huko. Umetoa mfano wa wazigua sijui nao wanapatikana kanda ya ziwa au ulikua wakazia maarifa?
Oromo walitokea Ethiopia!, kiswahili ni Afro-Asiatic language, kwa nini? Naomba jibu....
Haiwezekani kutaja Afro-asiatic entities, ukaziweka kando Ethiopia Egypt na Somalia, Eritrea, Djbout nk.

Hakika zaidi ya nusu ya Ethiopians they are originated from sub- Sahara African, Haprogroup E1b1(E1b1a) ziko kanda ya ziwa nyingi, usibishe bila uthibitisho, Simply do your Homework! kijana!

Hata ukiangalia ushahidi wa mazingira na jeografia rahisi sana ya eneo hili . maingiliano ya mito ya bue Nile na white Nile na Ziwa Victoria. ilikuwa ni rahisi kufuata maji kwa ajili ya shughuli za uvuvi, hata kusaidia wakimbizi wa vita!

Kwa mitindo hii ya wavuvi ilisaidia wao kugundua nchi mpya kirahisi sana! ambazo zilikuwa na watu wachache au hakuna kabisa! hivo walijichanganya na wenyeji!

Wazzigua wa hapo Mbwewe, ukivuka mto Wame tu lugha yao vinarandana na kisomali, na wanaelewana, ...kabila la Wa-ruri kanda ya ziwa kinaendana na Amharas, Tigrinya ya Ethiopia, na kihadjuin cha Sudan Mashariki!

Mila na Desturi zao ni sawa, ufugaji wa mifugo na masharti ya Ukamuaji wa ngo'mbe ni vilevile km mtoto wa baba mmoja...

kuna wilaya ya Bururi nchini Rwanda , accent ni moja na Waruri.walijimega hawa. kunawengine walimezwa na wengi wa huko! chromosomal DNA za Wajita, Achori, nyankole, kipsigis nk zinarandana na wa-cush!

Majina mengi ya kiruri kama maregesi, Nyanjiga,Nyanjara,(kama unakijua ile chakula maarufu cha wa ethiopia Injala vinaendana), Nyamuriro,Wanyonyi,nk yako Kenya kaskazini mpaka central Ethiopia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujuaji wewe.....iyo electronic revolution uisemayo kuna mmatumbi mwenzio kaifanyia research kama sio hao wazungu unao wabeza? Kama Prof. Kimambo na Temu walio andika kitabu cha "The peopling of Tz" ni wazungu kwako na ndio niwafanyiao reference basi hawana lolote kukuzidi.
Akhsante mkuu!
Elewa kuwa Historia ya Africa imechafuliwa na kugeuzwa geuzwa sana kuliko unavofikiri! ni vema akili ya kusoma changanya na yako then linganisha na source mbali mbali.

Nikuulize makabila km Summerians, Wa-foenike, Aramaic Coptic ambayo yalikuwa kwenye peak kipindi cha Iron era - CE! yalikwenda wapi, Wako wapi leo? na kwa nini? hata hao unao sema ni wanahistoria hawajui. je ni kweli hawajui?

Basi hata fununu tu ya Lugha zilizo tumika unazijua? zimeandikwa? kipindi hiki Kigiriki ilikuwa Lugha rasmi, Duniani pamoja na nilizozitaja, mbona hizo zingine muhimu, zilikufa? kikabaki kigiriki tu mpaka leo?! unajua kwa nini?

Usiamini amini tu kwa sababu mtu kasoma Historia unaweza wewe ukawa unajua zaidi kuliko yeye!, hao Wazungu walio kuandikia Historia wali base upande wao! hata hakuna sehemu moja wapo inayo wataja wazungu ktk Agano la kale, wazungu wako Agano jipya tu!

Darasani Mwalimu wako alikufundisha eti umetokana na Nyani, na Wabantu wote tulitoka kinchi kile cha Cameroon. but, hatumlaumu mwalimu wako sababu hakujua, ila tunakulaumu wewe,

kwa nini hukuchimba zaidi! bado unakumbatia mafunzo hafifu ktk ulimwengu huu wa Electronic Revolution ? hivi unajua kwa nini kiarabu kinafanana na kiswahili tena chenye asili ya full kibantu!

km tumecopy waarabu, Wasotho ni full- wabantu. lkn Waarabu hawakugusa huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndio hapo sasa. Afu anajidai za kuambiwa nichanganye na zangu utafikiri yeye aliwashuhudia watokapo ethiopia.

Back
Top Bottom