instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Bora ukae kimya maana tukitaja hasa wahaya utakimbia hapa.
Nakupa maTO WA mwaka huu kwenye mitihan tafuta wahaya halafu urudi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ukae kimya maana tukitaja hasa wahaya utakimbia hapa.
Mfumo wa nchi ndo unatufanya tuwe hiv Hadi leoTanzania, isingehaika kuagiza pamba za kuchonolea masikioni China, kama watu wa huko wana akili nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ulete vijiji vya huko kwenu sijui njombe na Nami nilete vya kagera hapa.Huko huko mnakoongoza kwa umaskini wa kutopea ndo mna akili? jikwamueni kwanza kwenye maisha duni ndio uje kuongea
Naomba ulete vijiji vya mkoa wako nami nilete vya mkoa wa kagera tulinganishe [emoji23]Mikoa ya kanda ya ziwa ingekuwa na watu wenye akili isingekuwa inashika mkia kwenye nyanja zaaendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ikiongozwa na kagera[emoji1787][emoji1787]Mikoa hiyo ndio iliyopo nyuma zaidi kimaendeleo ikiongozwa na Kagera, Geita na Simiyu. Akili za ushirikina? Jiwe au bashite?
Myahudi yupi huyo alizamia southKwa nini hawakujenga waliporudi kwao au walisahau formula.Wewe ni mjinga na hujafanya utafiti kuwa wayahudi ni kina nani? Wayahudi wapo mpaka Leo Afrika na wataendelea kuwepo na ni masikini wa kutupa na wengine hushikwa hapa wakizamia south.Huwa mnaa abudu wayahudi utadhani ni malaika, acheni upumbavu na ujinga.Kila kabila lina watu wenye akili na wasio na akili nyingi
Mkuu. Kule facebook unatumia jina gani? Hii elimu si ya kukosaHapana, ukiona mhaya anatumia ulimi ujue kazaliwa nje ya Kagera na wala huwezi kulowanisha shuka. Technology inahitaji namna nzuri ya kushika kichwa cha rungu na kucheza na antena ya K..alolina. ukipata muda nenda Bk utapewa training na warembo.
Wote, ila hasa wa maji baridi
Nasikia msitu wa Congo lakini tukaja kusambaaAsante mkuu umenikumbusha kitu muhimu sana, ebu nisaidie sisi wabantu sasa tulitokea wapi?
mbali na hayo yangu kwa sababu Historia ya Africa imepindishwa sana
Watu wa kanda ya ziwa ni Masalia ya Wayahudi wa kale waliojenga Ma-pyramids, hivo walitoroka mateso ya Ma-pharaoh! wa Misri, wakakimbia kufuatilizia chanzo cha mto Nile.
Kati hapo wengine wakachepuka kuelekea Ethiopia!, Lugha za kanda ya ziwa nyingi zina endana na Lugha ya Ahmaric za Ethiopia!
Nani amegundua IQ test?Jibu ni IQ Test.
Ila sina maana kwamba ufanye hayo ndio uwe na akili, kwa sababu kila mtu amezaliwa na akili haijalishi kama amekula samaki au la.
Asilimia kubwa hawawafahamu wahaya vzr na tamaduni zao.Mkuu. Kule facebook unatumia jina gani? Hii elimu si ya kukosa
Inawezekana . Pamoja na wahaya kupata majanga mengi na kutupwa na serikali lakn mkoa wao umericover faster na kurudi katika hali yakeSababu zipi zilizopelekea mpaka ukaona wahaya wanaakili nyingi?
Au tetemeko la ardhi lile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya wana akili mbovu na ovyo kujisifu tu ndo kumewajaa ukifika kwao utachokaSababu kubwa inayopelekea ungezeko la akili kwa watu wa kanda ya ziwa ni kutokana na ulaji mwingi wa SAMAKI.
Tuanzie hapa..
KWANINI SAMAKI?
Uchunguzi wa kisayansi uliofanyika unatujuza kuwa, Samaki wana asili ya mafuta (unsaturated fats) kwenye miili yao inayoundwa na kemikali ziitwazo Omega-3.
Kwa kawaida,mwili wa binadamu hauna uwezo wa kutungeneza hizi lakini ni muhimu. Kwahiyo tunahitaji kuzipata kutokea kwenye ulaji wa Samaki.
Sasa unapokula samaki kwa wingi, ni dhahiri kwamba unaongeza kiasi kikubwa cha Omega-3 kwenye mwili.
Tuje sasa kwenye Ubongo wa binadamu.
Ubongo wa binadamu umeundwa na nyaya/mishipa ya fahamu mingi iitawayo Neurone/ Nerve cell. Hizi ndio hutumika katika kusafirisha taarifa zote ndani ya mwili wa binadamu zilizoamuliwa na ubongo.
Katika muundo wa Neurone, kuna mafuta yanayoizunguka na kuilinda hizo mishipa ya fahamu (Myelin Sheeth) lengo ni kusaidia kulinda zisiharibiwe, kuepusha taarifa zisivuje kutoka nje (kupotea kwa taarifa zilizotafsiriwa na ubongo) na hivyo kuongeza speed ya taarifa zilizobebwa na ubongo kwenda sehemu husika.
Kwahiyo tunapoongeza Omega-3 kwenye mwili, inaenda kusaidia kuimarisha ukuaji wa kuta za Myelin Sheeth na hivyo kuongeza ufanisi zaidi wa kazi zao.
Pia, Omega-3 inachochea ongezeko la mtiririko wa damu kwenda kwenye ubongo jambo linalosaidia ubongo kupata Glucose (sukari) ambayo ni muhimu kama chakula chake na hivyo ubongo huweza kupata afya zaidi.
Kwa hali ya kawaida mtu anapokula vizuri akashiba na akaridhika, tunategemea mtu anawiri, Right?
Sasa ni hivyo hivyo kwa ubongo, inapelekea kuongezeka kwa mwingiliano mzuri wa mishipa ya fahamu (Nerve Cell Networking) ambapo huongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa kufikiri na kuvuta picha (Imagination).
Kwa takwimu zilizofanywa na wazungu nchini Tanzania katika miaka 10 iliyopita zinaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wamama wajawazito wanaoishi kwenye ukanda wa Ziwa Victoria ndio wanaongoza kwa ulaji mwingi wa Samaki wa maji baridi hivyo kupelekea watoto wao kufaidika zaidi na virutubisho hivyo na ndio hupelekea kuzaliwa wa watoto wenye upeo mkubwa wa akili.
BADO HUJACHELEWA, ANZA KULA SAMAKI LEO!