Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

Halafu eti kuna uzi huku ulikua umeweka battle ya bukoba vs moshi .. sijui mtoa mada alifikiria nini .. nadhani mkoa wa kilimanjaro haukutendewa haki kuwekewa battle na kagera πŸ˜”πŸ˜”
Kabisa
 
Mbona Kuna tamasha la kiswahili hufanyika nchini Cuba?
 
Nadhani walengwa wengi wa hiyo festival wapo dsm
Kaka hv kagera iliyochoka ni hipi? Sijui wanao ongelea Kagera uwa wanaifahamu au wakifika Bukoba wanaconclude? Niwe mkweli nimetembea mikogoa yote Tanzania bara ila hakuna vijiji vimejengwa kama mkoa wa Kagera. Pita tarafa ya nshamba mpaka kamachumu nenda maluku hakuna nyumba ya nyasi ni mwendo wa msouth. Vijijini kuna nyumba ata ukienda Bukoba mjini hazipo.
 
Wewe utakuwa hujasafiri nje ya Nchi ukajionea majiji yaliyopangwa na kupendeza.wewe umepumbwazwa na ccm na kuamini Dar ni jiji zuri wakati ni jiji la hovyo sana Duniani.mkoa wa kagera kuwa mbaya na sababu ya ccm yenu
Huyo ni kiazi sana
 
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…