Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hv kagera iliyochoka ni hipi? Sijui wanao ongelea Kagera uwa wanaifahamu au wakifika Bukoba wanaconclude? Niwe mkweli nimetembea mikogoa yote Tanzania bara ila hakuna vijiji vimejengwa kama mkoa wa Kagera. Pita tarafa ya nshamba mpaka kamachumu nenda maluku hakuna nyumba ya nyasi ni mwendo wa msouth. Vijijini kuna nyumba ata ukienda Bukoba mjini hazipo.Nadhani walengwa wengi wa hiyo festival wapo dsm
Huyo ni kiazi sanaWewe utakuwa hujasafiri nje ya Nchi ukajionea majiji yaliyopangwa na kupendeza.wewe umepumbwazwa na ccm na kuamini Dar ni jiji zuri wakati ni jiji la hovyo sana Duniani.mkoa wa kagera kuwa mbaya na sababu ya ccm yenu
Kweli mkuuKaka hv kagera iliyochoka ni hipi? Sijui wanao ongelea Kagera uwa wanaifahamu au wakifika Bukoba wanaconclude? Niwe mkweli nimetembea mikogoa yote Tanzania bara ila hakuna vijiji vimejengwa kama mkoa wa Kagera. Pita tarafa ya nshamba mpaka kamachumu nenda maluku hakuna nyumba ya nyasi ni mwendo wa msouth. Vijijini kuna nyumba ata ukienda Bukoba mjini hazipo.