Kwanini Wahindi hawana mke zaidi ya mmoja?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Nimefanya utafiti kwenye familia 600 za Kihindi lakini hamna hata moja yenye wake wawili.

Nimejaribu kuuliza lakini sijapata jibu. Wiki ijayo nitakutana na Balozi wa India nitamuuliza hili swali, nitawaletea mrejesho hapa.
 
Mke ndie mwenye sauti na ruhusa ya familia iweje.

Pia wake zao wanazijua nafasi zao ni zipo kwenye ndoa, pia awakosei kuoa wanaoa kwa kutazama nyota Sio kujibebea tu kama sisi unajibebea jitu lenye laana na mikosi inavuruga maisha yako.
 
Pia wake zao wanazijua nafasi zao ni zipo kwenye ndoa,pia awakosei kuoa wanaoa kwa kutazama nyota Sio kujibebea tu kama sisi unajibebea jitu lenye laana na mikosi inavuruga maisha yako.
Mweeeee!!😟
 
Wahindi wabahili sana. Pia kwa Mfumo wa wa asili wa maisha wanawake wana nguvu sana katika masuala ya familia.
 
Inaonekana hujui Mila na desturi za wahindi. Ama umeamua kufungua tu Uzi ili uonekane na wewe upo.
Ni hivi ndoa za wahindi mwanamke ndio analipa mahali na ili zisiende mbali mara nyingi wanaoana wao Kwa wao yaani binam na binamu.
 
Nimefanya utafiti kwenye familia 600 za Kihindi lakini hamna hata moja yenye wake wawili.

Nimejaribu kuuliza lakini sijapata jibu. Wiki ijayo nitakutana na Balozi wa India nitamuuliza hili swali, nitawaletea mrejesho hapa.

Mila na tamaduni zao haziruhusu japo yapo madhehebu huko kwao yanaruhusu, alafu sio lazima, hata waarabu wenye dini ya haki sio wote wenye wake wawili.
 
Mke ndie mwenye sauti na ruhusa ya familia iweje.

Pia wake zao wanazijua nafasi zao ni zipo kwenye ndoa, pia awakosei kuoa wanaoa kwa kutazama nyota Sio kujibebea tu kama sisi unajibebea jitu lenye laana na mikosi inavuruga maisha yako.
Nakuunga mkono asee sisi huku ni tunabeba tu ndo maana mnafika ndani yanakuwa mengne unakutana na mwanamke amebeba laana za wanaume 7 unategemea nin
 
Shida zote zikiwemo talaka, umasikini ni kwa sababu ya kukurupuka kuoa bila kutazama vipimo ujue aina ya roho aliyonayo kama ni safi au chafu.
 
Back
Top Bottom