MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huo utaratibu kwao ni outlawed.Nimefanya utafiti kwenye familia 600 za kihindi lakini hamna hata moja yenye wake wawili.
Nimejaribu kuuliza lkn sijapata jibu. Wiki ijayo nitakutana na balozi wa India nitamuuliza hili swali nitawaletea mrejesho hapa.
Hata sokoni wanakabana wote.Ni wabahili sana.
Wanabana matumizi...
Mweeeee!!😟Mke ndie mwenye sauti na ruhusa ya familia iweje.
Pia wake zao wanazijua nafasi zao ni zipo kwenye ndoa,pia awakosei kuoa wanaoa kwa kutazama nyota Sio kujibebea tu kama sisi unajibebea jitu lenye laana na mikosi inavuruga maisha yako.
Nimefanya utafiti kwenye familia 600 za Kihindi lakini hamna hata moja yenye wake wawili.
Nimejaribu kuuliza lakini sijapata jibu. Wiki ijayo nitakutana na Balozi wa India nitamuuliza hili swali, nitawaletea mrejesho hapa.
Nakuunga mkono asee sisi huku ni tunabeba tu ndo maana mnafika ndani yanakuwa mengne unakutana na mwanamke amebeba laana za wanaume 7 unategemea ninMke ndie mwenye sauti na ruhusa ya familia iweje.
Pia wake zao wanazijua nafasi zao ni zipo kwenye ndoa, pia awakosei kuoa wanaoa kwa kutazama nyota Sio kujibebea tu kama sisi unajibebea jitu lenye laana na mikosi inavuruga maisha yako.

Shida zote zikiwemo talaka, umasikini ni kwa sababu ya kukurupuka kuoa bila kutazama vipimo ujue aina ya roho aliyonayo kama ni safi au chafu.Nakuunga mkono asee sisi huku ni tunabeba tu ndo maana mnafika ndani yanakuwa mengne unakutana na mwanamke amebeba laana za wanaume 7 unategemea nin