Wahindi wamechanganyika, kuna wahindu ambao ndiyo wengi huko bara hindi, wao wanafuata sana mila na desturi zao.
Lakini wahindi waislam, wachache wana mke zaidi ya mmoja.
Hata hivyo endelea kumalizia utafiti wako maana inasemekana wanaume wengi wa kihindi wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume