Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Nakushauri usome kwanza kabla ya kuandika unachotaka kukiwasilisha. Nakupatia sehemu ya ufafanuzi wa sheria za UAE. Kwa ufafanuzi zaidi tembelea hata google utaelewa zaidi. Kwani si busara kuweka mjadala suala ambalo lipo wazi.Sawa, usichanganye Utalii na kuishi, UAE ni nchi ya Kiislamu na ukitaka kuishi huko wana masharti na kanuni za Kiislamu ambazo ni lazima uzifwate!
Ni kama nchi yetu si unafahamu vyanzo vikuu vya tulipochopoa na kuunda sheria zetu ni wapi(?).. Halikadhalika ndivyo kwa UAE.